-
Waziri Mkuu wa Pakistan: Njia ya mashahidi wa Karbala, lazima iendelezwe
Sep 11, 2019 07:38Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan sambamba na kuashiria kumalizika kwa marasimu ya kidini ya kumi la kwanza la mwezi wa Muharram nchini Pakistan, amesema kuwa raia wa nchi hiyo hususan Waislamu wa jimbo la Kashmir, ni lazima waendeleze ujumbe wa mashahidi wa Karbala.
-
India yawazuia Waislamu wa Kashmir kumuomboleza Imam Hussein AS
Sep 09, 2019 01:38India imetangaza sheria ya kutotoka nje katika baadhi ya maeneo ya Kashmir, sambamba na kuwapiga marufuku Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo hilo inalolidhibiti kushiriki katika marasimu yoyote ya kidini.
-
Ayatullah Hamedani awataka Waislamu wa Kashmir waendeleze muqawama
Sep 08, 2019 07:48Mwanachuoni mashuhuri hapa nchini Iran sambamba na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuwaunga mkono Waislamu wanaodhulumiwa wa eneo la Kashmir, amewataka Wakashmir waendelee kusimama kidete na kudumisha moyo wa muqawama.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan aapa kutoa jibu kali kwa India kuhusu Kashmir
Sep 06, 2019 22:02Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema serikali yake itatoa jibu kali zaidi linalowezekana katika kukabiliana na hatua za India huko Kashmir, lakini akasisitiza kuwa, nchi yake haitaki vita na India.
-
Jeshi la Pakistan: Vita vitaibuka kutokana na hatua za India huko Kashmir
Sep 05, 2019 00:05Jeshi la Pakistan limetahadharisha kuwa hatua ambazo India imechukua huko Kashmir zinaweza kuchochea vita katika eneo.
-
Mgogoro wa Kashmir.. Imran Khan atahadharisha juu ya kutokea vita vya dunia vya nyuklia
Aug 31, 2019 22:13Waziri Mkuu wa Pakistan ameeleza wasiwasi wake kuhusu mgogoro unaoendelea kushadidi baina ya nchi hiyo na India na kutahadharisha kwamba, kuna uwezekano wa kutokea vita vipya vya dunia kwa kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi hizo mbili.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu eneo la Kashmir chamalizika bila ya natija yoyote
Aug 17, 2019 03:41Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitshwa kujadili uamuzi ulioibua makelele wa serikali ya India wa kubatilisha mamlaka maalumu ya utawala wa ndani eneo la Kashmir kimemalizika bila ya matunda yoyote.
-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir
Aug 15, 2019 22:05Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan Shah Mehmood Qureshi amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia, Sergey Lavrov kuhusiana na hali ya eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.
-
Serikali ya India na mbinyo wa kidini katika eneo la Kashmir
Aug 14, 2019 02:27Hatua ya serikali ya India ya kuweka vizuizi na kubana shughuli za kidini katika eneo la Kashmir imekabiliwa na radiamali kali ya Pakistan.
-
Pakistan yaiomba Iran isaidie utatuzi wa amani wa mgogoro wa Kashmir
Aug 11, 2019 02:16Pakistan imetoa wito kwa jamii ya kimataifa, ikiwemo Iran, kusaidia katika kutafutia suluhisho la amani mgogoro wa Kashmir baada ya kuibuka uhasama mpya baina ya India na Pakistan kuhusu eneo hilo linalozozaniwa.