-
Shauku ya Pakistan ya kustawisha zaidi uhusiano wa kibiashara na Iran
Aug 06, 2018 02:40Mkuu wa Chama cha Tehreek-e-Insaf cha Pakistan ambacho hivi karibuni kiliibuka na ushindi katika uchaguzi wa Bunge, kwa mara nyingine tena ametangaza utayari wake wa kustawisha uhusiano wa pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza uchaguzi wa Bunge Pakistan
Jul 27, 2018 23:03Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akipongeza uchaguzi wa Bunge nchini Pakistan na kuutaja kuwa ni hatua nzuri ya kurejesha amani na demokrasia nchini humo.
-
Wasi wasi wa kushiriki baadhi ya wanachama wa zamani wa makundi ya kigaidi katika uchaguzi wa Pakistan
Jul 18, 2018 22:35Spika wa zamani wa Bunge la Kongresi nchini Pakistan, amekutaja kushiriki kwa baadhi ya viongozi wa zamani wa makundi ya kigaidi katika uchaguzi ujao wa bunge, kuwa ni maafa.
-
Aziz Ahmed Fanus: Saudia inalinda maslahi ya Marekani nchini Afghanistan
Jul 15, 2018 23:46Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na kieneo wa nchini Afghanistan ambaye pia ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa, Saudi Arabia inalinda kikamilifu maslahi na malengo ya Marekani nchini Afghanistan.
-
Shambulizi la kigaidi Balochistan, nchini Pakistan
Jul 14, 2018 07:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga mkutano wa kampeni za uchaguzi katika mkoa wa Balochistan nchini Pakistan.
-
Watu 70 wameuawa katika mlipuko uliolenga kampeni za uchaguzi Pakistan
Jul 13, 2018 12:18Watu wasiopungua 70 wameuawa hii leo katika mlipuko wa bomu ulioulenga msafara wa kampeni za uchaguzi mkoani Baluchistan kusini magharibi mwa Pakistan.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan miaka 10 jela kwa ufisadi
Jul 06, 2018 09:55Mahakama ya Kupambana na Ufisadi ya Pakistan imempata na hatia ya ufisadi wa kifedha aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo pamoja na binti yake na kuwahukumu kifungo cha miaka 10 jela.
-
Joto ambalo halijawahi kushuhudiwa Pakistan laendelea kusababisha maafa
May 25, 2018 09:19Hadi sasa ongezeko la joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa mjini Karachi, Pakistan limesababisha maafa ya makumi ya watu.
-
Wimbi la joto kali laua watu 65 nchini Pakistan
May 22, 2018 09:18Watu wasiopungua 65 wamepoteza maisha kutokana na joto kali linaloshuhudiwa katika mji mkuu wa Pakistan, Karachi.
-
Jeshi la Iran lazima shambulio la kigaidi katika mpaka na Pakistan
Apr 17, 2018 09:43Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limefanikiwa kuzima jaribio la shambulizi la kigaidi karibu na mpaka wa nchi hii na Pakistan, ambapo magaidi watatu wameangamizwa.