-
Larijani: Ukosefu wa usalama katika Ulimwengu wa Kiislamu ni kwa maslahi ya Israel
Mar 29, 2016 23:39Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema ukosefu wa usalama na wimbi la mashambulio ya kigaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu vinafanywa na wale wanaotumikia maslahi ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 03:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Zaidi ya watu 50 wauawa katika mripuko wa bomu Pakistan
Mar 27, 2016 22:30Kwa akali watu 52 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kwenye mripuko wa bomu uliotikisa mji wa Lahore, kaskazini mashariki mwa Pakistan.
-
Iran na Pakistan kuimarisha ushirikiano dhidi ya ugaidi
Mar 26, 2016 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyuga mbalimbali hususan katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Viongozi wa Iran na Pakistan wakutana Islamabad
Mar 25, 2016 11:21Rais Hassan Rouhani wa Iran na Nawaz Shariff Waziri Mkuu wa Pakistan wamekutana na kufanya mazungumzo na kujadili uimarishwaji uhusiano wa pande mbili hasa wa kiuchumi, masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Kuachiliwa huru kiongozi wa kigaidi nchini Pakistan
Mar 16, 2016 22:21Katika hali ambayo wananchi wa Pakistan walikuwa wakisubiria kuona vyombo vya mahakama vya nchi hiyo vikiwachukulia hatua kali wahusika wa vitendo vya kigaidi, ndio kwanza vimemuachilia huru kiongozi wa kundi la ukufurishaji na la kigaidi la 'Sepah Sahabah' kutoka jela.