-
SEPAH: Magaidi 15 wameshaangamizwa hadi hivi sasa kusini mashariki mwa Iran
Apr 04, 2024 08:08Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, hadi hivi sasa magaidi 15 wameshaangamizwa katika operesheni za kuzima mashambulizi matatu ya kigaidi yaliyofanywa na magaidi hao kusini mashariki mwa Iran.
-
Sisitizo la Pakistna la kuhitajia mno gesi ya Iran
Mar 29, 2024 23:01Musadik Masood Malik, Waziri wa Mafuta wa Pakistan amesema kuwa nchi yake inahitajia mno gesi ya Iran na kwamba msimamo wa Islamabad uko wazi kuwa, kukamilishwa mradi wa kupelekwa gesi ya Iran nchini Pakistan ni jambo la dharura.
-
Kiongozi wa kundi la kigaidi la Jaish al Dhulm aangamizwa katika hujuma ya askari usalama wa Iran
Feb 25, 2024 23:01Kiongozi wa kundi la kigaidi la "Jaish al-Dhulm" ameuawa katika shambulio la askari usalama wa Iran.
-
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Pakistan
Feb 13, 2024 03:48Tume ya Uchaguzi ya Pakistani imetangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa bunge nchini humo, na wagombea huru wenye mfungamano na chama cha Tehreek-e-Insaf cha Imran Khan wamenyakua viti 101.
-
Mamilioni ya Wapakistan wapiga kura kuchagua serikali mpya, matukio kadhaa ya mauaji yaripotiwa
Feb 08, 2024 08:03Wapakistani wapatao milioni 128 waliotimiza masharti leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu muhimu wa kuchagua serikali mpya itakayoongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo, huku usalama ukiimarishwa kwa kuchukuliwa hatua kadhaa ikiwemo kusitishwa huduma za simu za mkononi na mtandao wa intaneti licha ya kuripotiwa matukio kadhaa ya mauaji.
-
Maelfu ya watoto wanaugua nimonia nchini Pakistan
Feb 04, 2024 23:44Maafisa husika wa Afya wameripoti kutoka Pakistan kuwa watoto zaidi ya 19,000 katika jimbo la Punjab kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wamegunduliwa kuugua maradhi ya homa ya mapafu yaani nimonia (Pneumonia) baada ya kufanyiwa vipimo katika kipindi cha mwezi mmoja wa karibuni.
-
Mipaka ya Iran na Pakistan kubadilishwa kuwa ya kiuchumi na kiurafiki
Jan 31, 2024 23:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, juhudi zinafanyika kuhakikisha kwamba, mipaka ya nchi yake na Pakistan inabadilika na kuwa ya kiuchumi, amani na urafiki.
-
Imran Khan na msaidizi wake wahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kuvujisha siri za Serikali ya Pakistan
Jan 30, 2024 23:10Mahakama ya Pakistan imemhukumu waziri mkuu wa zamani Imran Khan na msaidizi wake wa karibu, waziri wa zamani wa mambo ya mje Shah Mahmood Qureshi, kifungo cha miaka 10 jela katika kesi inayohusiana na uvujaji wa siri za serikali.
-
Amir Abdollahian: Iran na Pakistan zimekubaliana kupanua ushirikiano wa kupambana na ugaidi
Jan 30, 2024 07:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran na Islamabad zimekubaliana kupanua ushirikiano kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Tehran: Iran na Pakistan hazitaruhusu maadui waharibu uhusiano wao wa kindugu
Jan 28, 2024 04:24Kufuatia shambulio lililowalenga raia wa Pakistan ndani ya Iran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran na Islamabad hazitavumilia chokochoko za kuharibu uhusiano wa nchi hizo mbili.