-
Mapigano yazuka kati ya majeshi ya Pakistan na Afghanistan kwenye mpaka wa nchi mbili
Jan 21, 2024 07:55Mapigano yamezuka kati ya vikosi vya mpakani vya jeshi la Pakistan na vya utawala wa Taliban ya Afghanistan katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.
-
Pakistan yatangaza kurejesha uhusiano kamili na Iran baada ya mivutano iliyojitokeza
Jan 20, 2024 03:23Pakistan imetangaza kurejesha kikamilifu uhusiano wa kidiplomasia na Iran baada ya kujitokeza mivutano mikali ya mpakani ambayo haijawahi kushuhudiwa kati ya nchi mbili juu ya operesheni za kupambana na ugaidi.
-
Azma thabiti ya Iran na Pakistan ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kupambana na ugaidi
Jan 19, 2024 23:30Baada ya kushadidi mivutano ya mpakani kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Pakistan katika kipindi cha siku mbili zilizopita, viongozi wa Tehran na Islamabad wamesisitiza kuendeleza uhusiano wa kirafiki kati ya nchi mbili, kuheshimiwa umoja wa ardhi za mataifa hayo mawili na kuwepo uratibu na mashauriano ya karibu zaidi katika kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Balozi mdogo wa Pakistan Tehran aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Jan 18, 2024 05:58Balozi mdogo wa Pakistan mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kufuatia mlipuko uliotokea leo asubuhi katika kijiji cha mpakani katika mkoa wa Sistan na Baluchistan hapa nchini.
-
Kundi la kigadi la Jaishu Dhulm lakiri kushambuliwa ngome zake Pakistan
Jan 17, 2024 04:35Kundi la kigaidi la Jaishu Dhulm limetangaza kuwa ngome zake zimelengwa na kushambuliwa kwa makombora usiku wa kuamkia leo katika mpaka wa Iran na Pakistan.
-
Islamabad yaituhumu Kabul sambamba na kufanyika juhudi za kupunguza mivutano
Jan 13, 2024 02:56Sambamba na kufanyika safari ya Mkuu wa chama cha Jamiat Ulamae Pakistan na mazungumzo yake na maafisa wakuu wa kundi la Taliban la Afghanistan kwa lengo la kupunguza mivutano, Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ya Pakistan kwa mara nyingine tena amedai kuwa ardhi ya Afghanistan inatumiwa na maadui dhidi ya Pakistan.
-
Maafisa 5 wa polisi wauawa katika mripuko Pakistan
Jan 08, 2024 08:51Maafisa wa polisi wasiopungua watano wameuawa na karibu wengine 24 kujeruhiwa baada ya gari yao kukumbwa na mripuko wakati wakiimarisha ulinzi katika zoezi la utoaji chanjo za polio huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
-
Azma ya Tehran na Islamabad ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga mbalimbali
Jan 01, 2024 04:30Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Pakistan ameeleza kuridhishwa kwake na mwenendo unaokua wa uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ahmad Vahidi: Makundi ya kigaidi yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni
Dec 17, 2023 04:26Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa, makundi ya kigaidi yanayotaka kuvuruga amani, usalama na umoja wa wananchi wa mkoa wa Sistan na Baluchistan nchini Iran yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kulaaniwa kimataifa veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la kusitisha vita vya Gaza
Dec 10, 2023 23:18Kitendo cha kinyama na cha kijinai cha Marekani cha kulipigia kura ya veto azimio la kusitisha vita Gaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeendelea kulaaniwa kimataifa.