-
Kulalamikia Chama cha Tahreek-e-Insaf uhusiano wa kibiashara wa Pakistan na utawala haramu wa Israel
Apr 04, 2023 02:10Chama cha Tahreek-e-Insaf cha Pakistan kimelalamikia kuweko uhusiano wa biashara ya bidhaa za chakula baina ya nchi hiyo na utawala haramu wa Israel na kimeitaka Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kutoa maelezo kuhusiana na suala hilo.
-
Imran Khan adai lengo la serikali ya Pakistan si kumkamata, ni kumteka nyara na kumuua
Mar 15, 2023 07:29Waziri Mkuun wa zamani wa Pakistan Imran Khan amesema katika ujumbe wa twitter alioandika mapema leo kuwa jaribio la polisi ya nchi hiyo la kumkamata ni "maonyesho tu" lakini nia yao hasa ni "kumteka nyara na kumuua".
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake
Mar 09, 2023 07:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake.
-
Serikali ya Pakistan yapiga marufuku TV kutangaza hotuba za Imran Khan
Mar 06, 2023 10:36Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Habari vya Kielektroniki vya Pakistan (PEMRA) imezipiga marufuku chaneli za televisheni kurusha hewani hotuba za aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan. Hii ni baada ya kumtuhumu waziri mkuu huyo wa zamani kwamba anazishambulia taasisi za serikali na kuchochea chuki ndani ya nchi.
-
Mahakama Pakistan yaamuru waziri mkuu wa zamani Imran Khan akamatwe
Feb 28, 2023 13:35Mahakama ya Islamabad imetoa waranti wa kukamatwa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan.
-
Pervez Musharraf, rais wa zamani wa Pakistan afariki dunia
Feb 05, 2023 10:34Pervez Musharraf, rais wa zamani wa Pakistan amefariki dunia katika Umoja wa Falme za Kiarabu akiwa na umri wa miaka 79.
-
Baraza la Usalama lalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu msikitini Pakistan
Feb 01, 2023 07:32Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu msikitini Pakistan.
-
Iran, dunia zalaani shambulio la kigaidi lililoua 88 msikitini Pakistan
Jan 31, 2023 06:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Makumi ya Waislamu wauawa katika shambulizi lililolenga msikiti Peshawar, Pakistan
Jan 30, 2023 12:37Watu wasiopungua 56 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
-
Ajali mbaya ya barabarani yaua watu 40 nchini Pakistan
Jan 29, 2023 13:19Kwa akali watu 40 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya basi iliyotokea huko kusini magharibi mwa Pakistan.