Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Palestina yataka kuitisha mikutano ya kimataifa kujadili uhalifu wa Israel huko Quds

    Palestina yataka kuitisha mikutano ya kimataifa kujadili uhalifu wa Israel huko Quds

    May 08, 2021 21:44

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito wa kuitisha mikutano ya dharura ya kimataifa ili kujadili uhalifu unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mustakbali bora wa Palestina utapatikana kwa muqawama na uungaji mkono wa wote

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mustakbali bora wa Palestina utapatikana kwa muqawama na uungaji mkono wa wote

    May 08, 2021 04:48

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Wazayuni wanaoikalia kwa mabavu Palestina, wameigeuza nchi hiyo kuwa kambi ya kigaidi tangu siku kwanza kabisa ya kuanza kuikalia kwa mabavu.

  • Nchi tano za Ulaya zaitaka Israel isimamishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Nchi tano za Ulaya zaitaka Israel isimamishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    May 07, 2021 11:18

    Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uhispania na Uingereza zimeutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel usimamishe ujenzi wa vitongoji katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.

  • Profesa wa Chuo Kikuu China: Iran ni moja ya nchi chache duniani zinazothubutu kuiambia Marekani

    Profesa wa Chuo Kikuu China: Iran ni moja ya nchi chache duniani zinazothubutu kuiambia Marekani "hapana"

    May 07, 2021 10:59

    Mhadhiri wa chuo kikuu nchini China amesema, umoja na irada ya mataifa mawili ya China na Iran ya kusimama imara kukabiliana na uchu wa Marekani na utawala wa Kizayuni ni ya kupigiwa mfano.

  • Nukta za kipekee za Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka 2021

    Nukta za kipekee za Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka 2021

    May 06, 2021 21:49

    Siku ya Kimataifa ya Quds katika mwaka huu wa 2021 imewadia wakati ambao kunashuhudiwa matukio muhimu katika medani za kisiasa za muqawama au mapambano ya Kiislamu kwa upande mmoja na mikakati ya kuanzishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika upande wa pili.

  • Mapambano yamezuia kusahaulika kadhia ya Quds

    Mapambano yamezuia kusahaulika kadhia ya Quds

    May 05, 2021 07:09

    Mkuu wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Quds Tukufu amesema Marekani ilijaribu kusambaratisha kadhia ya ukombozi wa Quds (Jerusalem) kupitia njama mpya katika eneo lakini imefeli kutokana na kuwepo mhimili wa muqawama au mapambano ya Kiislamu.

  • Abdollahian: Iran ina stratejia maalumu ya kuwaunga mkono Wapalestina

    Abdollahian: Iran ina stratejia maalumu ya kuwaunga mkono Wapalestina

    May 05, 2021 03:02

    Mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Iran ina stratejia maalumu, thabiti na kabambe ya kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi wa Palestina.

  • Israel imebomoa makumi ya majengo ya Wapalestina mjini Quds

    Israel imebomoa makumi ya majengo ya Wapalestina mjini Quds

    May 03, 2021 21:03

    Shirika huru la kutetea haki za binadamu limesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa majengo 58 ya Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.

  • HAMAS: Adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Quds inayokaliwa kwa mabavu

    HAMAS: Adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Quds inayokaliwa kwa mabavu

    May 02, 2021 22:17

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na kueleza kwamba, kwa hatua zake hizo, adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Kipalestina wa mji huo wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Sababu na radiamali za kuakhirishwa uchaguzi wa Palestina

    Sababu na radiamali za kuakhirishwa uchaguzi wa Palestina

    May 01, 2021 05:50

    Hatua ya Rais Muhmous Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuakhirisha uchaguzi wa nchi hiyo imekabiliwa na radiamali tofauti za makundi ya kisiasa ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS