-
Ismail Hania: Kuakhirisha uchaguzi ni kupora haki ya kisiasa ya Wapalestina
May 01, 2021 03:33Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina amesisitiza kuwa, kuakhirisha uchaguzi wa Palestina maana yake ni kupora haki ya kisiasa ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Hamas: Uamuzi wa kuakhirisha uchaguzi ni mapinduzi dhidi ya maamuzi ya Wapalestina
Apr 30, 2021 22:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali uamuzi uliochukuliwa na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas wa kuakhirisha uchaguzi mkuu na imeutambua uamuzi huo kuwa ni mapinduzi dhidi ya mchakato wa kuwepo ushirikiano baina ya harakati ya makundi ya kupigania uhuru wa Palestina na maafikiano ya kitaifa.
-
Abbas aakhirisha uchaguzi wa bunge Palestina, ghasia zaibuka
Apr 30, 2021 07:19Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas ametangaza rasmi kuakhirisha uchaguzi wa bunge la Palestina uamuzi ambao umeibua hasira na ghasia.
-
Palestina yataka dunia iishinikize Israel iruhusu uchaguzi Quds
Apr 28, 2021 21:58Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameiasa jamii ya kimataifa iushinikize zaidi utawala wa Kizayuni wa Israel ili ukubali kufanyika uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Hamas: Mapambano ndiyo njia pekee ya kukabiliana na Israel
Apr 27, 2021 01:41Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kusalimu amri utawala wa Kizayuni wa Israel mbele ya waandamanaji wa Quds inayokaliwa kwa mabavu kumeonyesha kuwa, kusimama kidete na mapambano ndiyo njia pekee ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
-
HAMAS yawahutubu Wazayuni: Mapambano ya Quds ni mapambano yetu sote
Apr 26, 2021 03:29Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, ikiwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utaendeleza siasa zake za kiuadui dhidi ya Quds hakutakuwapo na utulivu wowote.
-
Makundi ya muqawama ya Palestina: Quds na msikiti wa Al Aqsa ni mstari mwekundu
Apr 24, 2021 08:36Kitengo cha pamoja cha makundi ya muqawama ya Palestina kimetangaza kuwa, Quds na msikiti wa Al Aqsa ni mstari mwekundu; na uamuzi wa mwisho kuhusu matukufu mawili hayo utaamuliwa na muqawama.
-
Utawala wa Kizayuni waendelea kufanya wizi katika ardhi za Wapalestina
Apr 24, 2021 03:01Chombo kimoja cha Palestina kimelalamikia vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendelea kupora ardhi za Wapalestina hususan katika mji wa Quds Mashariki.
-
Ismail Hania: Quds haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya Wazayuni
Apr 23, 2021 07:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, Quds haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya utawala haramu wa Israel na siasa zake za ubaguzi.
-
‘Quds’, mhimili mkuu katika uchaguzi wa Bunge la Palestina
Apr 23, 2021 05:38Utawala wa Kizayuni wa Israel unajaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem) hatua ambayo imekabiliwa na tahadhari kutoka kwa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina.