Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Kuongezeka ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina baada ya kusaini mapatano ya uhusiano rasmi na nchi za Kiarabu

    Kuongezeka ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina baada ya kusaini mapatano ya uhusiano rasmi na nchi za Kiarabu

    Oct 03, 2020 06:45

    Ikiwa zimepita wiki mbili tangu kusainiwa mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia baina ya nchi za Imarati na Barain na utawala haramu wa Israel huko White House; utawala wa Kizayuni umezidisha uhalifu na vitendo vyake vya mabavu dhidi ya Wapalestina.

  • Ripoti: Hali ya mateka wa Kipalestina katika magereza ya Israel ni mbaya

    Ripoti: Hali ya mateka wa Kipalestina katika magereza ya Israel ni mbaya

    Oct 03, 2020 04:19

    Kamati ya Masuala ya Mateka na Wapalestina Walioachiliwa Huru imetangaza kuwa, hali ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya mno.

  • Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi

    Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi

    Oct 02, 2020 23:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni unaendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, tofauti kabisa na madai ya Imarati na Bahrain ya kusimamishwa ujenzi wa vitongoji hivyo baada ya nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.

  • Kamati Kuu ya Fat-h yapitisha makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya harakati hiyo na HAMAS

    Kamati Kuu ya Fat-h yapitisha makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya harakati hiyo na HAMAS

    Oct 02, 2020 04:09

    Kamati Kuu ya Harakati ya Fat-h imetangaza kuwa imepitisha makubaliano ambayo harakati hiyo ilifikia hivi karibuni na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kuhusu mapatano ya kitaifa.

  • Iran yaadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Palestina

    Iran yaadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Palestina

    Sep 30, 2020 09:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ya Septemba 30 (tarehe 9 Mehr kwa mujibu wa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia), imeadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Kipalestina.

  • Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili

    Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili

    Sep 29, 2020 09:43

    Jumatatu ya jana tarehe 28 Septemba, ilisafidiana na kutimia miaka 20 tangu kulipotokea Intifadha ya Pili inayojulikana kama Intifadha ya al-Aqswa.

  • Hamas: Mazungumzo na harakati ya Fat-h ni uwanja kwa ajili ya kufanyika mazungumzo ya kitaifa

    Hamas: Mazungumzo na harakati ya Fat-h ni uwanja kwa ajili ya kufanyika mazungumzo ya kitaifa

    Sep 29, 2020 09:02

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameyataja mazungumzo yaliyofanyika kati ya harakati hiyo na ile ya Fat-h kuwa ni uwanja muhimu sasa kwa ajili ya kufanyika mazungumzo mapana ya kitaifa.

  • UN: Israel imebomoa zaidi ya nyumba 500 za raia wa Wapalestina

    UN: Israel imebomoa zaidi ya nyumba 500 za raia wa Wapalestina

    Sep 29, 2020 03:30

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya nyumba mia tano za raia wa Palestina.

  • Afisa wa Fat-h: Nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kufanya mapatano na Israel

    Afisa wa Fat-h: Nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kufanya mapatano na Israel

    Sep 27, 2020 10:33

    Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Harakati ya Fat-h ya Palestina amesema, nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Maghasibu watafukuzwa katika ardhi ya Palestina

    Hamas: Maghasibu watafukuzwa katika ardhi ya Palestina

    Sep 27, 2020 01:11

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, utawala haramu wa Israel utafukuzwa katika ardhi inayokaliwa kwa mabavu ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS