Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • "Muqawama hauna mistari myekundu katika vita dhidi ya Israel"

    Sep 17, 2020 03:41

    Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema muqawama ni chaguo la Wapalestina wote dhidi ya utawala wa Kizayuni, na kwamba makundi ya mapambano hayana mistari myekundu katika vita dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel ni dhambi isiyosameheka

    Mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel ni dhambi isiyosameheka

    Sep 17, 2020 01:27

    Nchi za Imarati na Bahran juzi Septemba 15 zilisaini mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Sherehe ya kutiwa saini mapatano hayo ilifanyika ikulu ya White House mjini Washington chini ya usimamizi wa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Bunge la Taifa la Palestina: Mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel hayatadhamini amani

    Bunge la Taifa la Palestina: Mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel hayatadhamini amani

    Sep 16, 2020 03:18

    Bunge la Taifa la Palestina limetangaza kuwa, kufanya mapatano na utawala haramu wa Israel kamwe hakuwezi kuleta amani, utulivu na maendeleo katika eneo la magharibi mwa Asia.

  • Haniya: Malengo matukufu ya Palestina hayatakuwa daraja la kufanyia mapatano na utawala wa Kizayuni

    Haniya: Malengo matukufu ya Palestina hayatakuwa daraja la kufanyia mapatano na utawala wa Kizayuni

    Sep 15, 2020 22:09

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, malengo matukufu ya watu wa Palestina hayatakuwa daraja la kufanyia mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • 15 Septemba, siku ya ghadhabu ya Waarabu dhidi ya watawala vibaraka

    15 Septemba, siku ya ghadhabu ya Waarabu dhidi ya watawala vibaraka

    Sep 15, 2020 10:42

    Imarati na Bahrain leo Jumanne zinatarajiwa kutia saini mapatano ya amani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ikulu ya Rais wa Marekani, White House, mjini Washington. Hatua hii imeyakasirisha sana mataifa ya Waislamu na Waarabu ambayo yameitaja kuwa ni usaliti dhidi ya Uislamu, Palestina na Quds tukufu.

  • Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Sep 15, 2020 02:58

    Waziri Mkuu wa Palestina amesema ulimwengu wa Kiarabu leo Jumanne utashuhudia 'Siku Nyeusi' katika historia yake, kutokana na hafla itakayofanyika hii leo katika Ikulu ya White House ya Marekani ya kutiwa saini rasmi makubaliano ya kufanywa wa kawaida uhusiano wa nchi mbili za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Haniya: Marekani inajaribu kuanzisha njia za mazungumzo na Hamas

    Haniya: Marekani inajaribu kuanzisha njia za mazungumzo na Hamas

    Sep 14, 2020 03:14

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Marekani imefungua njia za kuanzisha mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa harakati hiyo, ili kulishawishi kundi hilo liafiki kutekeleza mpango wa 'Muamala wa Karne.'

  • Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Sep 14, 2020 02:03

    Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Palestina: Jumanne ijayo ni siku ya upinzani wa kimataifa dhidi ya kuwa na uhusiano na Israel

    Palestina: Jumanne ijayo ni siku ya upinzani wa kimataifa dhidi ya kuwa na uhusiano na Israel

    Sep 13, 2020 22:12

    Kamati ya Uongozi wa Makundi ya Mapambano ya Ukombozi wa Palestina imeitangaza siku ya Jumanne ijayo kuwa ni siku ya upinzani wa walimwengu dhidi ya hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel

    Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel

    Sep 13, 2020 22:06

    Baada ya Imarati na Bahrain kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala huo ghasibu unaoikalia Quds tukufu kwa mabavu, suali linaloulizwa hivi sasa ni, hatua gani Palestina inaweza kuchukua kwa ajili ya kukabiliana na mwenendo huo?

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS