Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Larijani: Nchi za Kiislamu zimeitelekeza Palestina

    Larijani: Nchi za Kiislamu zimeitelekeza Palestina

    Apr 08, 2019 03:28

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Ali Larijani ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya nchi za Kiislamu ya kuitelekeza na kuiweka pembeni kadhia muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa, ambayo ni Palestina.

  • Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel

    Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel

    Apr 08, 2019 03:27

    Uturuki imekosoa vikali matamshi wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa iwapo ataibuka mshindi katika uchaguzi mkuu ujao, basi atauunganisha rasmi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na maeneo mengine ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu, chini ya mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne".

  • Mfalme wa Jordan: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Mfalme wa Jordan: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Apr 06, 2019 10:14

    Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amesema kuwa, kwa mujibu wa hati na maazimo yote ya kimataifa, milima ya Golan ni ardhi ya Syria isiyotenganishika na ardhi nyingine za nchi hiyo.

  • Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia

    Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia

    Apr 02, 2019 03:01

    Kuingia madarakani Rais Jair Bolsonaro huko Brazil ambaye alianza kazi yake rasmi mwezi Januari mwaka huu wa 2019 kumepokewa kwa hisia tofauti.

  • Hamas yataka kurejeshwa haki za taifa la Palestina zilizoporwa na Wazayuni

    Hamas yataka kurejeshwa haki za taifa la Palestina zilizoporwa na Wazayuni

    Apr 01, 2019 20:26

    Dakta Mahmoud al-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, muqawama na mapambano yatawalazimisha wavamizi wa Kizayuni kurejesha haki za Wapalestina walizozipora.

  • Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'

    Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'

    Mar 31, 2019 03:19

    Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).

  • Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Mar 30, 2019 22:42

    Mamia ya watu wamejitokeza katika barabara za London, mji mkuu wa Uingereza kushiriki maandamano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Umoja wa Kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu; masharti ya lazima ya ushindi wa Wapalestina

    Umoja wa Kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu; masharti ya lazima ya ushindi wa Wapalestina

    Mar 30, 2019 22:01

    Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa kwa munasaba wa Siku ya Ardhi Palestina na kusisitiza kuhusu udharura wa kuwepo umoja wa kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu kama masharti yasiyoepukika kwa ajili ya kupatikana ushindi mbele ya njama hatari za maadui.

  • Askari wa Israel waua shahidi Wapalestina wawili katika maandamano Ghaza

    Askari wa Israel waua shahidi Wapalestina wawili katika maandamano Ghaza

    Mar 30, 2019 11:20

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua shahidi Wapalestina wawili na kuwajeruhi wengine kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati wa maandamano ya amani yaliyoitishwa kwa lengo la kuadhimisha kuanza 'Maandamano Makubwa ya Kurejea' na 'Siku ya Ardhi ya Palestina.'

  • Umuhimu wa pande kadhaa wa maadhimisho ya mwaka wa 43 wa Siku ya Ardhi huko Palestina

    Umuhimu wa pande kadhaa wa maadhimisho ya mwaka wa 43 wa Siku ya Ardhi huko Palestina

    Mar 30, 2019 06:11

    Jumamosi ya leo ya tarehe 30 Machi 2019, inasadifiana na kuwadia mwaka wa 43 wa Siku ya Ardhi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala vamizi wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS