-
Iran: Amani ya kudumu itapatikana kwa kutamatishwa ukaliaji wa mabavu wa adhi za Palestina
Mar 30, 2019 03:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka mmoja ya Maandamano ya Wapalestina ya "Haki ya Kurejea" yaliyoanza rasmi tarehe 30 Machi mwaka jana 2018.
-
Ubalozi wa Palestina Tehran: Kulaani kwa maneno tu hakutoshi, lazima zichukuliwe hatua kukabiliana na Israel
Mar 28, 2019 00:08Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa maalumu inayosisitiza kwamba: Kutazama tu unyama unaofanywa na kuulaani kwa maneno matupu utawala wa Kizayuni wa Israel si dawa ya kutibu machungu, bali kuna ulazima wa kukabiliana kivitendo na utawala huo haramu.
-
Jihadul Islami yawaonya Wazayuni wasithubutu kushambulia Ghaza
Mar 25, 2019 09:05Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kufanya shambulio lolote dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Haniyeh: Israel inakabiliwa na mazingira magumu sana ya baadaye
Mar 23, 2019 21:58Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniyeh amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unatakiwa kufahamu ujumbe wa maandamano ya kurejea yanayoendelea katika mpaka wa Ukanda wa Ghaza na ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel na kwamba kinyume na hivyo basi utakabiliwa na mustakbali mgumu zaidi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Marekani haiwezi kulazimisha kwa mabavu mpango wake wa "Muamala wa Karne"
Mar 19, 2019 23:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf bin Alawi amesema: Marekani haiwezi kuutekeleza mpango wa "Muamala wa Karne" pasi na kukubali kuwepo nchi huru ya Palestina.
-
UN yailaani Israel kwa kuwapokonya Wapalestina rasilimali
Mar 18, 2019 23:34Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina Michael Lynk amesema upokonyaji wa maliasili za Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika maeneo ya Palestina ni uporaji wa wazi.
-
Makundi ya Kipalestina yakaribisha oparesheni dhidi ya Wazayuni
Mar 17, 2019 13:41Makundi ya Muqawama ya Palestina yamekaribisha na kupongeza kufanyika kwa mafanikio oparesheni mpya dhidi ya Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Palestina: Ripoti ya Marekani inadhihirisha uhasama wao kwa Wapalestina
Mar 15, 2019 12:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani vikali hatua ya Marekani ya kudondosha maneno "inayokaliwa kwa mabavu na Israel" kuashiria Miinuko ya Golan, na "maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu" katika ripoti yake mpya haki za binadamu ya kila mwaka.
-
Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel
Mar 15, 2019 03:51Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.
-
Vijana wa Kipalestina waendelea kuuawa shahidi na askari katili wa Israel
Mar 13, 2019 04:34Utawala katili wa Israel umeendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.