Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mahmoud Abbas akosolewa vikali kwa kujichukulia maamuzi ya upande mmoja ya kuteua waziri mkuu mpya wa Palestina

    Mahmoud Abbas akosolewa vikali kwa kujichukulia maamuzi ya upande mmoja ya kuteua waziri mkuu mpya wa Palestina

    Mar 11, 2019 23:25

    Makundi ya muqawama ya Palestina yametangaza kuwa, hatua aliyochukua Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya kuunda serikali mpya kwa kuteua waziiri mkuu mpya yanadhihirisha sera za kidikteta anazotekeleza.

  • Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina

    Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina

    Mar 10, 2019 10:45

    Kijana wa Kipalestina ameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Mapigo ya makombora ya Wapalestina katika kujibu mashambulio ya Israel

    Mapigo ya makombora ya Wapalestina katika kujibu mashambulio ya Israel

    Mar 08, 2019 04:15

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimethibitisha habari ya mashambulio ya makombora mawili ya Wapalestina yaliyovurumishwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelelekea vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.

  • Mayahudi wanaoishi Marekani wamuunga mkono mbunge Mwislamu wa nchi hiyo 'Ilhan Omar'

    Mayahudi wanaoishi Marekani wamuunga mkono mbunge Mwislamu wa nchi hiyo 'Ilhan Omar'

    Mar 07, 2019 03:52

    Kundi la Mayahudi wanaoishi nchini Marekani wametangaza uungaji mkono wao kwa Ilhan Omar, mbunge Mwislamu wa nchi hiyo kutokana na misimamo yake ya ukosoaji siasa chafu za Washington kuuhusu utawala haramu wa Israel.

  • UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza

    UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza

    Mar 06, 2019 23:23

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Israel kupinga ripoti ya wataalamu wa umoja huo kuhusu mauaji ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yaliyofanywa na askari katili wa utawala huo haramu.

  • Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa

    Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa

    Mar 06, 2019 10:25

    Mamlaka ya Wakfu wa Kidini ya Palestina imepuuzilia mbali agizo lililotolewa na mahakama ya utawala wa Kizayuni wa Israel la kuitaka ifunge moja ya malango muhimu ya Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.

  • Al Houthi: Mkutano wa Warsaw ulikuwa sherehe ya kutangaza uhusiano wa Waarabu na Israel

    Al Houthi: Mkutano wa Warsaw ulikuwa sherehe ya kutangaza uhusiano wa Waarabu na Israel

    Mar 03, 2019 23:10

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa, mkutano wa Marekani uliofanyika huko Warsaw nchini Poland ulikuwa tangazao la kuanzishwa uhusiano na ushirikiano baina ya baadhi ya nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Ilhan Omar: Misimamo yangu dhidi ya Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi

    Ilhan Omar: Misimamo yangu dhidi ya Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi

    Mar 02, 2019 12:29

    Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, anasikitika kuona misimamo yake dhidi ya utawala wa Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi.

  • UN: Israel imefanya jinai dhidi ya binadamu Palestina

    UN: Israel imefanya jinai dhidi ya binadamu Palestina

    Feb 28, 2019 23:45

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameripoti kuwa, Israel imefanya jinai dhidi ya binadamu katika kukandamiza maandamano ya raia wa Ukanda wa Gaza.

  • Riyadh al-Maliki: Hali ya Palestina ni ya maafa makubwa

    Riyadh al-Maliki: Hali ya Palestina ni ya maafa makubwa

    Feb 28, 2019 04:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amesema hali ya mambo huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni ya maafa na ametaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kufuatilia ukiukaji haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS