-
Ripoti: Israel imeficha nyaraka laki 3 kuhusu mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina
Feb 26, 2019 04:29Mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayeishi jimboni California nchini Marekani amefichua kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeficha nyaraka laki tatu zinazohusu jinai za kutisha za utawala huo haramu yakiwemo mauaji ya Wapalestina.
-
Hizbullah: Marekani haiwezi kamwe kubadili msimamo wa muqawama
Feb 25, 2019 01:40Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, misimamo ya Marekani ni misimamo ya kidhalimu, kidikteta na inayokinzana na maslahi ya mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na hivyo haitaweza kubadili misimamo ya muqawama.
-
Wazayuni wawatia nguvuni wasimamizi wa Matukufu ya Kiislamu Quds
Feb 24, 2019 10:49Polisi ya utawala haramu wa Israel imewakamata wasimamizi wa ngazi za juu wa Matukufu ya Kiislamu katika mji mtukufu wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Taifa la Palestina limethibitisha kwamba, Masjidul Aqswa ni mstari mwekundu
Feb 23, 2019 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa Umma wa Kiislamu.
-
Adnan al-Husayni aonya kuhusu njama za kuugawa Msikiti wa al-Aqswa
Feb 20, 2019 23:23Waziri wa Masuala ya Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusiana na njama za kutaka kuugawa Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Israel inazifanyia majaribio silaha zake kwa watoto wa Kipalestina
Feb 18, 2019 04:23Profesa mmoja anayehadhiri katika Chuo Kikuu cha Hebrew kilichoko katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) amesema, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linazifanyia majaribio silaha zake mbalimbali kwa Wapalestina, wakiwemo hata watoto wadogo ili kuweza kuelewa ni zipi zenye nguvu na uwezo mkubwa zaidi.
-
Velayati: Kuunga mkono Palestina ni moja ya thamani za kimsingi za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 13, 2019 23:11Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa, kuliunga mkono taifa madhulumu la Palestina na Beitul-Muqaddas ni moja ya thamani za kimsingi, kiistratejia na malengo matukufu ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Wapalestina wazitaka nchi za Kiarabu zisusie mkutano wa Poland
Feb 12, 2019 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametoa mwito kwa nchi za Kiarabu kususia mkutano wa Poland, ulioitishwa na kufadhiliwa na Marekani.
-
Israel yakerwa na Uholanzi kutambua Gaza, Quds kuwa asili ya Wapalestina
Feb 11, 2019 04:12Utawala wa Kizayuni wa Israel umeghadhabishwa na hatua ya Uholanzi ya kuwapa Wapalestina wanaoishi nchini humo haki ya kuorodhesha Gaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Mashariki mwa Quds (Jerusalem) kama maeneo walikozaliwa.
-
Maher Hamoud: Katika miaka 40 iliyopita Palestina imekuwa kadhia muhimu kwa Iran
Feb 09, 2019 21:46Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Muqawama amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka 40 iliyopita Iran imeheshimu na kushikamana na misingi yake ya thamani ikiwemo kuiunga mkono Palestina.