Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Uingereza yalaumiwa kwa kuzuia kutangazwa ukweli kuhusu Palestina

    Uingereza yalaumiwa kwa kuzuia kutangazwa ukweli kuhusu Palestina

    Aug 19, 2018 23:24

    Zaidi ya mashirika 80 yanayojishughulisha na masuala haki za watu weusi na watu wenye asili ya Asia pamoja na jamii ya wachache nchini Uingereza yamesema kuwa, kuna njama za makusudi zinafanyika nchini humo kuzuia kujadiliwa na kuwekwa wazi kadhia ya Palestina.

  • Mapatano ya kitaifa; ngao ya Wapalestina mkabala na njama ya

    Mapatano ya kitaifa; ngao ya Wapalestina mkabala na njama ya "Muamala wa Karne"

    Aug 18, 2018 11:10

    Khalid Mash'al Mkuu wa zamani wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa muafaka wa kitaifa baina ya Wapalestina ni kama ngao ya muqawama katika kukabiliana na njama ya "Muamala wa Karne."

  • UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina

    UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina

    Aug 18, 2018 10:00

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mapendekezo kadhaa ya kuwasaidia watu wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Silaha ya Muqawama; wenzo wa kuwahami wananchi wa Palestina

    Silaha ya Muqawama; wenzo wa kuwahami wananchi wa Palestina

    Aug 13, 2018 03:00

    Khalid al-Batsh, kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa silaha ya Muqawama ndio wenzo wa kulihami taifa na wananchi wa Palestina dhidi ya Wazayuni maghasibu.

  • Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

    Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

    Aug 11, 2018 22:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria amelaani vikali jinai za wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Wazayuni wachochea vita zaidi dhidi ya Wapalestina

    Wazayuni wachochea vita zaidi dhidi ya Wapalestina

    Aug 09, 2018 23:20

    Licha ya kuweko onyo la kimataifa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu jinai zake dhidi ya Wapalestina, baraza la mawaziri la utawala huo dhalimu jana usiku liliitisha kikao maalumu na kutaka mashambulizi dhidi ya wananchi wa Ghaza yaendelee.

  • Jihadul Islami: Saudia na Imarati zinashirikiana na Marekani kuikandamiza Palestina

    Jihadul Islami: Saudia na Imarati zinashirikiana na Marekani kuikandamiza Palestina

    Aug 08, 2018 23:55

    Mwakilishi wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina nchini Iran amesema kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), zinashiriki waziwazi katika 'Mapatano ya Karne' ambayo yameandaliwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kuliangamiza taifa la Palestina

  • Udharura wa kuundwa kambi ya kimataifa dhidi ya sheria ya kibaguzi ya 'Nchi ya Mayahudi pekee'

    Udharura wa kuundwa kambi ya kimataifa dhidi ya sheria ya kibaguzi ya 'Nchi ya Mayahudi pekee'

    Jul 30, 2018 03:45

    Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amemuandika barua Mahathir Muhammad Waziri Mkuu wa Malaysia akitaka kuweko harakati za kweli na athirifu katika Ulimwengu wa Kiislamu na jamii ya kimataifa kwa ajili ya kulaani sheria mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya 'Nchi ya Mayahudi Pekee' na kuzuia kutekelezwa sheria hiyo.

  • Saudia yawapiga marufuku mahujaji kujadili masuala ya Yemen na Palestina

    Saudia yawapiga marufuku mahujaji kujadili masuala ya Yemen na Palestina

    Jul 28, 2018 06:52

    Kufuatia kushindwa siasa za Saudia kuanzia nchini Syria, Iraq na Yemen, na kadhalika kashfa za kuyasaidia kifedha makundi ya kigaidi na Kiwahabi, serikali ya Riyadh imepiga marufuku vikao vya aina yoyote vinavyojadili masuala ya kisiasa yakiwemo masuala ya Yemen na Palestina.

  • Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN

    Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN

    Jul 27, 2018 03:36

    Palestina imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Kundi la 77 (G77) linalojihusisha na masuala ya uchumi wa nchi zinazostawi, ambazo zinaunda asilimia 80 ya idadi ya watu wote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS