-
Fawzi Barhoum: Kunyamazia mashambulio ya Israel ni jambo lisilokubalika
Jul 26, 2018 09:55Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, kunyamazia kimya hujuma na mashambulio ya utawala unaomwaga damu na unaotenda jinai wa Israel ni jambo lisilokubalika.
-
Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi
Jul 26, 2018 02:43Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya angani na nchi kavu ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yabomoa kituo cha watoto wa Kipalestina mashariki wa mji wa Quds
Jul 25, 2018 22:36Duru za habari kutoka Palestina zimeripoti kwamba maboldoza ya utawala haramu wa Kizayuni, yamebomoa kituo cha kulelea watoto wadogo pamoja na kituo cha wanawake katika eneo la Jabal al Baba karibu na mji wa al-Eizariya, mashariki mwa mji wa Quds.
-
Wizara ya Afya ya Palestina: Hospitali zote za Gaza zinakaribia kufungwa
Jul 24, 2018 20:49Wizara ya Afya ya Palestina imetahadharisha kuwa hospitali na vituo vyote vya afya katika eneo la Ukanda wa Gaza vinakaribia kufungwa kutokana na kuishiwa na nishati ya kuendeshea mitambo ya umeme.
-
Erdogan: Israel ndio utawala wa kifashisti na kibaguzi zaidi duniani
Jul 24, 2018 11:50Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ndio utawala wa kifashisti na wa kibaguzi zaidi duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Ndoto potovu ya kuyahudisha Palestina na 'Muamala wa Karne' haitatimia
Jul 23, 2018 09:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria njama chafu ya Marekani na Utawala wa Kizayuni inayojulikana kama 'Muamala wa Karne' dhidi ya Palestina na Quds Tukufu na kusema: "Uyahudishaji Palestina ni ndoto potovu ambayo haitatimia"
-
UN yaitaka Israel isitishe uchokozi wake Ghaza
Jul 22, 2018 03:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameutaka utawala haramu wa Israel usitishe uchokozi wake katika Ukanda wa Ghaza.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel huko Palestina
Jul 21, 2018 10:36Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu uhalifu na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa la Palestina.
-
Bunge la Israel lapasisha sheria ya ubaguzi, Wabunge Waarabu wahamaki
Jul 19, 2018 11:12Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limeupasisha muswada wa sheria inayotaka kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee' licha ya upinzani mkali na malalamiko kutoka kila pembe ya dunia.
-
Uchunguzi: Israel ilimuua muuguzi wa Kipalestina Gaza kwa makusudi
Jul 18, 2018 02:48Uchunguzi uliofanywa na shirika moja la kutetea haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu umesema jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel lilimuua kwa makusudi muuguzi wa Kipalestina katika Ukanda Ghaza.