-
Silaha ya Muqawama; wenzo wa kuwahami wananchi wa Palestina
Aug 13, 2018 03:00Khalid al-Batsh, kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa silaha ya Muqawama ndio wenzo wa kulihami taifa na wananchi wa Palestina dhidi ya Wazayuni maghasibu.
-
Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza
Aug 11, 2018 22:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria amelaani vikali jinai za wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wazayuni wachochea vita zaidi dhidi ya Wapalestina
Aug 09, 2018 23:20Licha ya kuweko onyo la kimataifa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu jinai zake dhidi ya Wapalestina, baraza la mawaziri la utawala huo dhalimu jana usiku liliitisha kikao maalumu na kutaka mashambulizi dhidi ya wananchi wa Ghaza yaendelee.
-
Jihadul Islami: Saudia na Imarati zinashirikiana na Marekani kuikandamiza Palestina
Aug 08, 2018 23:55Mwakilishi wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina nchini Iran amesema kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), zinashiriki waziwazi katika 'Mapatano ya Karne' ambayo yameandaliwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kuliangamiza taifa la Palestina
-
Udharura wa kuundwa kambi ya kimataifa dhidi ya sheria ya kibaguzi ya 'Nchi ya Mayahudi pekee'
Jul 30, 2018 03:45Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amemuandika barua Mahathir Muhammad Waziri Mkuu wa Malaysia akitaka kuweko harakati za kweli na athirifu katika Ulimwengu wa Kiislamu na jamii ya kimataifa kwa ajili ya kulaani sheria mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya 'Nchi ya Mayahudi Pekee' na kuzuia kutekelezwa sheria hiyo.
-
Saudia yawapiga marufuku mahujaji kujadili masuala ya Yemen na Palestina
Jul 28, 2018 06:52Kufuatia kushindwa siasa za Saudia kuanzia nchini Syria, Iraq na Yemen, na kadhalika kashfa za kuyasaidia kifedha makundi ya kigaidi na Kiwahabi, serikali ya Riyadh imepiga marufuku vikao vya aina yoyote vinavyojadili masuala ya kisiasa yakiwemo masuala ya Yemen na Palestina.
-
Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN
Jul 27, 2018 03:36Palestina imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Kundi la 77 (G77) linalojihusisha na masuala ya uchumi wa nchi zinazostawi, ambazo zinaunda asilimia 80 ya idadi ya watu wote duniani.
-
Fawzi Barhoum: Kunyamazia mashambulio ya Israel ni jambo lisilokubalika
Jul 26, 2018 09:55Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, kunyamazia kimya hujuma na mashambulio ya utawala unaomwaga damu na unaotenda jinai wa Israel ni jambo lisilokubalika.
-
Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi
Jul 26, 2018 02:43Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya angani na nchi kavu ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yabomoa kituo cha watoto wa Kipalestina mashariki wa mji wa Quds
Jul 25, 2018 22:36Duru za habari kutoka Palestina zimeripoti kwamba maboldoza ya utawala haramu wa Kizayuni, yamebomoa kituo cha kulelea watoto wadogo pamoja na kituo cha wanawake katika eneo la Jabal al Baba karibu na mji wa al-Eizariya, mashariki mwa mji wa Quds.