-
Wapalestina: Uingereza iliombe radhi taifa la Palestina kwa Azimio la Balfour
Oct 19, 2017 12:44Wakati serikali ya Uingereza inatazamiwa kusherehekea maadhimisho ya miaka 100 tangu kutolewa Azimio la Balfour, makundi ya Kipalestina yamesisitizia ulazima wa serikali ya London kuliomba radhi taifa la Palestina kwa sababu ya kutoa azimio hilo.
-
Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video
Oct 19, 2017 04:08Spika wa Bunge la Kuwait ameukemea vikali ujumbe wa bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha kuondoka katika mkutano wa kimataifa nchini Russia.
-
Radiamali ya Wapalestina kwa njama za Israel za kukwamisha maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Oct 19, 2017 00:30Habari kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kuendelea njama na ukwamishaji mambo wa Israel katika njia ya mwenendo wa maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina.
-
Radiamali ya Hamas kwa masharti ya utawala wa Kizayuni ili kukubali mapatano ya Wapalestina
Oct 18, 2017 04:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa inapinga mashatri yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni ili kukubali mapatano ya kitaifa ya Wapalestina na kusisitiza kuwa mashatri hayo ni uingiliaji wa masuala ya Palestina.
-
Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Waarabu zakaribisha mapatano ya Wapalestina
Oct 13, 2017 04:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wamekaribisha mwafaka wa maridhiano yaliyofikiwa nchini Misri kati ya makundi ya Kipalestina ya HAMAS na Fat'h.
-
Marekani kujiondoa UNESCO Disemba mwaka huu
Oct 12, 2017 10:47Marekani imetangaza kuwa itajiondoa kwenye Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuanzia Disemba 31 mwaka huu.
-
Hamas yasema mahasimu Palestina wafikia maelewano ya kitaifa
Oct 12, 2017 03:08Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetangaza kufikia mapatano ya maelewano ya kitaifa na chama cha Fat'h kwa lengo la kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa muongo mmoja kuhusu utawala wa Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS yasisitizia mapambano na Wazayuni ili kulinda matukufu ya Palestina
Oct 10, 2017 04:38Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa suala la kupambana na Wazayuni maghasibu ambao wanayakalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu huko Palestina kama vile Masjidul Aqswa na Haram ya Nabii Ibrahim AS katika mji wa al Khalil wa kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ni muhimu sana.
-
Mchakato wa mapatano ya kitaifa ya Wapalestina na vitisho vinavyowakabili
Oct 07, 2017 23:09Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetahadharisha kuhusu mipango ya kimataifa ya kutaka kutumiwa vibaya mapatano ya kitaifa ya Wapalestina lengo likiwa ni kufutilia mbali kadhia ya Palestina.
-
Hamas: Ukombozi wa Palestina unahijatia umoja wa kitaifa
Sep 30, 2017 12:57Naibu Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, ukombozi wa Palestina na Quds tukufu na kukomeshwa uvamizi wa utawala haramu wa Israel kunahitaji umoja na mshikamano wa kitaifa.