-
Waislamu kote duniani watakiwa kushiriki kwa wingi Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 20, 2017 03:31Mjumbe wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina mjini Tehran ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kushiriki kwa wingi katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa ijayo.
-
Israel yatengua haki ya Wapalestina kutembeleana Ramadhani
Jun 18, 2017 09:51Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametangaza kubatilisha 'haki' ya Wapalestina kutembeleana katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani kufuatia mauaji ya mwanajeshi wa kike wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Jihad Islami: Baadhi ya Waarabu wanafanya njama dhidi ya Quds tukufu
Jun 15, 2017 23:53Msemaji wa harakati ya Jihad Islamu ya Palestina amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Qud mwaka huu inaadhimishwa huku mji huo mtukufu ukiwa katika hali mbaya sana na baadhi ya nchi za Kiarabu zikifanya njama dhidi ya eneo hilo.
-
UN yalaani Israel kuwazimia umeme Wapalestina Ghaza
Jun 15, 2017 02:55Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuwazimia kwa muda mrefu umeme Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina
Jun 13, 2017 09:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuunga mkono shirika la umoja huo linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutoa wito wa kuvunjwa taasisi hiyo ya kimataifa.
-
Netanyahu atoa wito wa kuvunjwa UNRWA
Jun 11, 2017 22:53Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), linalowasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina.
-
Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu
Jun 11, 2017 09:36Maafisa wa polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefunga na kuuzingira Msikiti wa al-Aqsa sambamba na kuwazuia waumini wa Kiislamu kuingia na kutoka kwenye msikiti huo, ambacho ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Hamas yakataa wito wa Shirika la Msalaba Mwekundu
Jun 10, 2017 23:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga wito uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu la kutaka kujua hatima ya askari wawili wa Kizayuni waliotoweka katika enro la Ukanda wa Gaza.
-
Palestina yataka Arab League iitishe kikao cha dharura kujadili ushawishi wa Israel Afrika
Jun 07, 2017 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) iitishe kikao cha dharura kujadili kuenea satua na ushawishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika bara la Afrika.
-
Hasira za Israel baada ya Umoja wa Mataifa kuunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina
Jun 07, 2017 06:10Danny Danon Balozi wa Utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali matamshi ya katibu mkuu wa umoja huo Antonio Gutterres ambaye ameunga mkono uundwaji nchi huru ya Palestina.