-
Kiongozi wa Ansarullah: Marekani ni mshirika na muungaji mkono wa jinai zote za Israel
Oct 07, 2024 03:46Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi ni waitifaki, washirika na wafadhili wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na zinashiriki katika mauaji na maafa dhidi ya taifa la Palestina.
-
Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina
Oct 03, 2024 07:30Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.
-
Makundi ya Muqawama yaishukuru na kuipongeza Iran kwa kutekeleza Operesheni Ahadi ya Kweli 2
Oct 02, 2024 05:36Makundi ya Muqawama yamepongeza jibu kali lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa utawala wa Kizayuni kufuatia Operesheni Ahadi ya Kweli 2 na kutekelezwa kwa mafanikio shambulio la makombora la Iran katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kulenga shabaha zilizokusudiwa kwa asilimia 90 ya makombora yaliyorushwa na vikosi vya ulinzi vya Iran.
-
Utawala wa Kizayuni waua kigaidi makamanda 3 wa chama cha PLO
Sep 30, 2024 04:27Shambulio la kigaidi ambalo limetekelezwa na utawala wa Kizayuni katika eneo la "Al-Kola" mjini Beirut, Lebanon limepelekea kuuawa shahidi makamanda watatu waandamizi wa chama cha Ukombozi wa Palestina PLO.
-
Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ni ushahidi wa mauaji ya kimbari ya Israel
Sep 29, 2024 22:55Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) amesema kuwa, jinai za kivita za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel katika mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kuuawa mamia ya watu katika shambulio la Beirut ni ushahidi wa wazi wa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni.
-
Kuasisiwa Muungano wa Kimataifa kwa ajili ya kuunda nchi huru ya Palestina
Sep 28, 2024 22:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameatangaza kuasisiwa Muuungano wa Kimataifa kwa ajili ya kufuatilia uundaji wa nchi huru ya Palestina.
-
Kinyume na uongo wa Netanyahu, UN yasema: Israel imezuia 90% ya misaada ya kuingizwa Ghaza
Sep 28, 2024 06:33Umoja wa Mataifa umesema, kuna changamoto kadhaa zinazokabili shughuli za ufikishaji misaada ya kibinadamu kaskazini na kusini mwa Ukanda wa Ghaza, na kubainisha kuwa 90% ya misaada hiyo iliyokuwa imeratibiwa kufikishwa kwenye maeneo hayo ama imekataliwa au kuzuiliwa hadi sasa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwezi huu wa Septemba.
-
Slovenia yaitambua rasmi nchi huru ya Palestina
Sep 26, 2024 03:14Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Waziri Mkuu wa Slovenia Tanja Fajon ametangaza kuwa nchi hiyo imeitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Wanamuqawama wa Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndio washindi
Sep 25, 2024 10:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi.
-
Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria
Sep 21, 2024 23:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya ya Iran amesema kuwa, Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima na kujibu malalamiko makubwa ya kimataifa kwa kushiriki kwake katika jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina, Lebanon na Syria.