-
MSF: Israel inaendelea kutumia misaada ya Gaza kama silaha ya vita
Oct 27, 2025 02:43Afisa mkuu wa shirika la kimataifa la misaada ya kibinadamu la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) anasema utawala wa Israel unaendelea kutumia misaada ya kibinadamu huko Gaza kama silaha ya vita dhidi ya Wapalestina.
-
Kwa nini UNRWA huko Gaza inalengwa kwa mashinikizo ya kisiasa?
Oct 26, 2025 06:09Mkuu wa Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema: Vita vya Gaza vimeonyesha kwamba sheria za kimataifa hazizingatiwi kabisa.
-
Ripoti: Asilimia 97 ya shule za Gaza zimeharibiwa kwa mashambulizi ya Israel
Oct 20, 2025 03:28Ripoti rasmi zinasema, mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel yameharibu asilimia 97 ya shule za Ukanda wa Gaza na hivyo kuhatarisha mustakbali wa kielimu wa wanafunzi laki tatu wa Kipalestina katika eneo hilo.
-
HAMAS: Hatutajifunga kukabidhi silaha mpaka yatakapofanyika mazungumzo zaidi
Oct 19, 2025 02:42Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa miaka mitatu hadi mitano ili kuijenga upya Ghaza.
-
Wananchi wa Uruguay waandamana wakitaka kukatwa uhusiano na Israel
Oct 11, 2025 09:25Maelfu ya wananchi wa Uruguay waliingia mitaani na mabarabarani jana Ijumaa, kushiriki maandamano ya kuitaka serikali yao itambue mzozo wa kibinadamu unaoendelea Gaza kama mauaji ya halaiki, sanjari na kukata uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi na Israel.
-
Makundi ya Muqawama ya Palestina yakataa Ghaza kuwa chini ya utawala na usimamizi wa wageni
Oct 11, 2025 03:22Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS pamoja na makundi mengine washirika ya Muqawama wa Palestina yamesisitiza kuwa uamuzi wowote kuhusu utawala wa baadaye wa Ghaza ni "suala la ndani la Palestina" na kupinga vikali eneo hilo kutawaliwa na kusimamiwa na maajinabi.
-
Somalia na Djibouti zakaribisha usitishaji vita Gaza; zatoa wito wa kuasisiwa taifa huru la Palestina
Oct 11, 2025 02:34Somalia na Djibouti zimekaribisha makubaliano ya amani yaliyofikiwa kwa ajili ya kusitisitisha vita katika Ukanda wa Gaza na kupongeza juhudi za kikanda na kimataifa za kufanikisha usitishaji vita, kuhahkikisha misaada ya kibinadamu inafika Gaza na wafungwa na mateka wote wanaachiwa huru.
-
Kushiriki makundi ya Palestina katika mazungumzo ya Sharm el-Sheikh
Oct 08, 2025 12:28Televisheni ya al Jazeera yenye makao yake mjini Doha Qatar imemnukuu afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina na kuripoti kuwa wawakilishi wa makundi kadhaa ya Wapalestina wamejiunga na timu za mazungumzo huko Sharm el-Sheikh Misri hatua waliyoitaja kuwa yenye lengo la kufanikisha matakwa ya wananchi wa Palestina.
-
Kilichopelekea maandamano ya kuipinga Israel katika nchi za Ulaya kugeuka kuwa vuguvugu kubwa la umma barani humo
Oct 07, 2025 04:32Maandamano makubwa ya wananchi wa mataifa ya Ulaya dhidi ya sera za utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza yangali yanaendelea.
-
Iran yaunga mkono uamuzi wa Palestina juu ya usitishaji vita Gaza; lakini yaonya...
Oct 06, 2025 05:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema itaunga mkono uamuzi wowote wa watu wa Palestina na Muqawama kuhusu pendekezo la kusitisha mapigano Gaza linaloungwa mkono na Marekani, huku ikiionya jamii ya kimataifa kuhusu mwelekeo hatari wa mpango huo na historia ya kutokuwa na muamana Israel.