-
Mtaalamu wa UN: Hakuna kinachoweza kuhalalisha ilichokifanya Israel Gaza
Jan 19, 2024 08:17Mtalaamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameashiria ukiukaji wa sheria za kimataifa uliofanywa mara chungu nzima na utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hakuna kitu kinachoweza kuhalalisha vita vya mauaji ya kimbari vya Israel katika eneo hilo lilozingirwa.
-
Mexico na Chile zaitaka ICC ichunguze jinai za Israel Gaza
Jan 19, 2024 08:16Serikali za Mexico na Chile zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza na kuwashtaki maafisa wa utawala wa Israel ambao wamehusika katika jinai za kivita dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kikao cha leo cha wakuu wa NAM Uganda; Iran yataka jumuiya hiyo itilie mkazo kuihami Palestina
Jan 19, 2024 04:08Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM unafanyika leo katika mji mkuu wa Uganda, Kamapala huku Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwataka wanachama wa jumuiya hiyo kutilia mkazo uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Khalid Mash'al: Taifa la Palestina linataka kuwa huru na kujikomboa kutoka katika minyororo ya maghasibu
Jan 17, 2024 23:20Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nje ya Palestina amesema kuwa taifa la Palestina linapigania uhuru, linataka kujikomboa na kuunda nchi huru mji wake mkuu ukiwa Quds Tukufu.
-
Malaysia: Magharibi ni mshirika wa jinai za Israel kwa kimya chake
Jan 17, 2024 04:12Waziri Mkuu wa Malaysia amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kufumbia macho matukio ya Gaza na kusisitiza kuwa, Wamagharibi ni washirika wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa kimya chao hicho.
-
Mkuu wa AU atoa mwito wa kusitishwa vita Ukanda wa Gaza
Jan 17, 2024 04:11Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) kwa mara nyingine tena ametoa mwito wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza kwa misingi ya ubinadamu.
-
"Dunia ina wajibu wa kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ"
Jan 15, 2024 04:35Mwakilishi wa Slovenia katika Bunge la Ulaya amesema dunia ina jukumu la kuunga mkono kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel, kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
UN: "Siku 100 za mashambulizi ya Israel huko Gaza zinahisika kama miaka 100" kwa Wapalestina
Jan 15, 2024 01:03Philippe Lazzarini, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), amesema siku 100 zilizopita za mashambulizi ya Israel huko Ukanda wa Gaza zimekuwa kama miaka 100 kwa watu wa Gaza.
-
Ebrahim Raisi: Palestina ni kadhia ya kwanza ya ulimwengu
Jan 14, 2024 10:00Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Palestina imegeuka na kuwa kadhia ya kwanza ulimwengu wa mwanadamu.
-
Walimwengu waandamana kulaani siku 100 za jinai za Israel Gaza
Jan 14, 2024 00:02Mamilioni ya watu jana Jumamosi walifanya maandamano katika pembe mbali mbali za dunia kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, na vile vile kuonyesha mshikamano wao na taifa la Palestina.