Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Juhudi za utawala wa Kizayuni za kupotosha uhakika wa kutisha wa vita vya Gaza

    Juhudi za utawala wa Kizayuni za kupotosha uhakika wa kutisha wa vita vya Gaza

    Jan 13, 2024 08:46

    Kikao cha kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ, yenye makao yake huko Hague Uholanzi kimeanza katika hali ambayo mauaji ya kimbari na jinai za kivita za utawala wa Israel unaoiklia Quds kwa mabavu zingali zinaendelea katika ardhi za Palestina; na kila siku wananchi wa Palestina wanaendelea kuuliwa shahidi.

  • US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina

    US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina

    Jan 12, 2024 00:25

    Marekani na Uingereza zimeshambulia vituo kadhaa vya harakati ya Ansarullah kukabiliana na hatua ya harakati hiyo ya wananchi wa Yemen ya kuzishambulia meli zenye uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwa sababu ya vita vya mauaji ya kimbari na ya halaiki unavyoendesha utawala huo dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza.

  • DCI: Mwaka 2023 ndio mwaka umbaya zaidi kwa watoto wa Kipalestina

    DCI: Mwaka 2023 ndio mwaka umbaya zaidi kwa watoto wa Kipalestina

    Jan 11, 2024 23:14

    Kundi la kimataifa linalofanya kazi katika uwanja wa kulinda watoto duniani limeutaja mwaka 2023 kuwa mwaka wa mauaji ya kimbari ya watoto wa Kipalestina huko Gaza.

  • Wapalestina wakusanyika katika uwanja wa Mandela Ramallah kuishukuru Afrika Kusini kuhusu kesi ya ICJ

    Wapalestina wakusanyika katika uwanja wa Mandela Ramallah kuishukuru Afrika Kusini kuhusu kesi ya ICJ

    Jan 11, 2024 04:19

    Wapalestina jana Jumatano walikusanyika katika uwanja wa mwendazake mzee Nelson Mandela huko Ramallah lengo likiwa ni kuishukuru Afrika Kusini kwa hatua yake ya kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Ripoti: Israel inapanga kuwahamishia Afrika Wapalestina wa Gaza

    Ripoti: Israel inapanga kuwahamishia Afrika Wapalestina wa Gaza

    Jan 04, 2024 23:02

    Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha ripoti zinazodai kuwa, utawala wa Kizayuni unafanya mazungumzo ya siri ili kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi nyingine za Afrika.

  • WHO yaonya kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu Gaza

    WHO yaonya kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu Gaza

    Jan 03, 2024 23:40

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amelaani shambulio la bomu katika kituo cha Hilali Nyekundu cha Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja hatua hiyo kwamba, iikko kkinyume na dhamiri na takkwa la kulinda vituo vya matibabu katika ukanda huo.

  • Nchi za Kiarabu na Kiislamu zatakiwa kuunga mkono mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Nchi za Kiarabu na Kiislamu zatakiwa kuunga mkono mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Jan 03, 2024 03:40

    Gazeti moja la Misri limezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu kuunga mkono mashtaka ya serikali ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague.

  • HAMAS: Muqawama utaipa Israel funzo lisilosahaulika kwa ukatili inaowafanyia Wapalestina

    HAMAS: Muqawama utaipa Israel funzo lisilosahaulika kwa ukatili inaowafanyia Wapalestina

    Jan 02, 2024 10:50

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kifo cha mateka mwengine wa Kipalestina aliyeuliwa kwenye kituo cha mahabusu cha utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuahidi kuupa utawala huo funzo lisilosahaulika kutokana na ukatili wake unaoendelea kuwafanyia Wapalestina.

  • Vita vya Gaza vyazuia  wanafunzi elfu 600 wa Kipalestina kupata elimu

    Vita vya Gaza vyazuia wanafunzi elfu 600 wa Kipalestina kupata elimu

    Jan 02, 2024 04:05

    Mamlaka ya Palestina imetangaza kwamba kuendelea mapigano huko Gaza, kutazuia zaidi ya wanafunzi 600,000 wa Kipalestina kupata elimu.

  • Iran yaipongeza Ansarullah ya Yemen kwa kuiunga mkono Palestina

    Iran yaipongeza Ansarullah ya Yemen kwa kuiunga mkono Palestina

    Jan 02, 2024 03:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameisifu na kuipongeza Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwa kuwa na msimamo madhubuti katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS