Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Nyaraka za Uingereza: Bush aliiamuru CIA kutafuta shakhsia mbadala wa Arafat

    Nyaraka za Uingereza: Bush aliiamuru CIA kutafuta shakhsia mbadala wa Arafat

    Feb 02, 2023 04:24

    Rais wa zamani wa Marekani George W Bush aliliamuru Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kumtafuta shakhsia mbadala ili kuchukua nafasi ya aliyekuwa Kiongozi wa Palestina mwendazake Yasser Arafat baada ya kupamba moto Intifadha ya Pili ya Wapalestina mwaka 2001. Hayo ni kwa mujibu wa nyaraka za Uingereza zilizotolewa hadharani.

  • Algeria: Palestina itaendelea kuwa kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Algeria: Palestina itaendelea kuwa kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Jan 30, 2023 03:26

    Rais wa Algeria amesema kukwa, Palestina itaendelea kuwa kadhiaa kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.

  • Pigo kali la Wapalestina kwa baraza lenye misimamo mikali la Israel

    Pigo kali la Wapalestina kwa baraza lenye misimamo mikali la Israel

    Jan 29, 2023 23:16

    Siku moja tu baada ya kutekelezwa jinai ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin, kijana mmoja wa Kipalestina ametekeleza oparesheni ya kishujaa katika mji mtakatifu wa Quds inayokaliwa kwa mabavu na kusababisha vifo vya Wazayuni 10.

  • Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

    Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

    Jan 28, 2023 23:05

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni.

  • Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin

    Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin

    Jan 28, 2023 08:20

    Makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina yamepongeza operesheni ya kulipiza kisasi karibu na sinagogi katika makazi haramu ya walowezi wa Kizayuni kwenye eneo la al- Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na Israel, na kueleza kuwa oparesheni hiyo ni 'jibu la moja kwa moja' kwa uvamizi mbaya zaidi wa kijeshi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi

  • Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina

    Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina

    Jan 28, 2023 04:40

    Mkuu wa ofisi ya habari ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, misimamo ya Uturuki na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kulaani operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu ni usaliti kwa watu wa Palestina.

  • ICJ yapokea rasmi ombi la UN juu ya kughusubiwa ardhi za Wapalestina na Israel

    ICJ yapokea rasmi ombi la UN juu ya kughusubiwa ardhi za Wapalestina na Israel

    Jan 21, 2023 23:01

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imepokea rasmi ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa chombo hicho juu ya taathira za Israel kughusubu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Jan 19, 2023 06:56

    Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina wawili.

  • Siku ya Ghaza; Iran yaitaka UN iwe mkweli katika kuwalinda na kuwaunga mkono Wapalestina

    Siku ya Ghaza; Iran yaitaka UN iwe mkweli katika kuwalinda na kuwaunga mkono Wapalestina

    Jan 19, 2023 03:20

    Balozi na Mwakilishi wa Kudunu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Matiafa amelalamikia kimya cha Baraza la Usalama la umoja wa huo mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni na kulitaka lifanye haraka kutoa azimio la kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina.

  • Kwa mnasaba wa Siku ya Gaza, Waarabu watakiwa kuwa bega kwa bega na Muqawama kama ilivyo Iran

    Kwa mnasaba wa Siku ya Gaza, Waarabu watakiwa kuwa bega kwa bega na Muqawama kama ilivyo Iran

    Jan 18, 2023 23:32

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Iran inaunga mkono kishujaa kadhia na piganio tukufu la Palestina; na inavyotarajiwa, nchi za Kiarabu nazo pia zichukue msimamo kama huo wa Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS