Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mussa Abu Marzouq: Israel itasambaratika endapo Wamagharibi wataacha kuiunga mkono

    Mussa Abu Marzouq: Israel itasambaratika endapo Wamagharibi wataacha kuiunga mkono

    Dec 08, 2022 04:28

    Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, endapo madola ya Magharibi yatasitisha himaya na uungaji mkono wao kwa utawala haramu wa Israel basi siku itakayofuata utawala huo utasambaratika kikamilifu.

  • Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni

    Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni

    Dec 07, 2022 22:52

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.

  • Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu

    Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu

    Dec 05, 2022 22:47

    Kwa akali Wapalestina 160 wameuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan tangu kuanza mwaka huu wa 2022.

  • Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 04, 2022 04:22

    Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Kan'ani: Haki za binadamu ni mchezo wa nchi kadhaa za wahalifu

    Kan'ani: Haki za binadamu ni mchezo wa nchi kadhaa za wahalifu

    Dec 03, 2022 03:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Nasser Kan'ani, ametaja mauaji ya kijana wa Kipalestina kwa kupigwa risasi moja kwa moja na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa yanastahili jibu la kimataifa na kusema: "Haki za binadamu zimekuwa mchezo wa nchi kadhaa za kihalifu."

  • UN yaunga mkono kutambuliwa Siku ya Nakba ya Wapalestina

    UN yaunga mkono kutambuliwa Siku ya Nakba ya Wapalestina

    Dec 01, 2022 09:46

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kuunga mkono azimio lenye maslahi kwa Palestina la kutaka kuadhimishwa Siku ya Nakba, inayokumbusha tukio chungu la kuasisiwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.

  • Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina

    Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina

    Nov 30, 2022 07:15

    Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimesema hali ya usalama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ni ya 'hatari' na kwamba Tel Aviv inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina.

  • Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume wauliwa shahidi Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume wauliwa shahidi Ukingo wa Magharibi

    Nov 29, 2022 04:25

    Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume Jawaad na Dhaafar Abdurrahman wameuawa shahidi asubuhi ya leo baada ya kupigwa risasi na askari katili wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika kijiji cha Kafr Ain kaskazini mwa Ramallah, Ukingo wa Magharibi Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu

    Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu

    Nov 29, 2022 04:10

    Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza haja ya kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kurejesha haki za Wapalestina.

  • Jumuiya 198 za Palestina na za kimataifa zatoa mwito kwa ICC kuchunguza jinai za Israel

    Jumuiya 198 za Palestina na za kimataifa zatoa mwito kwa ICC kuchunguza jinai za Israel

    Nov 28, 2022 08:06

    Makumi ya asasi za Palestina na za kimataifa zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ifanye uchunguzi kuhusu jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS