Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Qatar: Mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo ni kitu cha udharura

    Qatar: Mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo ni kitu cha udharura

    Jun 01, 2021 06:16

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema kuwa Doha iko tayari kuchukua nafasi ya upatanishi baina ya madola makubwa ya eneo hili na kwamba mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo hili ni kitu cha dharura.

  • Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili

    Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili

    Apr 29, 2021 05:00

    Faisal bin Farhan bin Abdallah Al Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia alasiri ya Aprili 26 aliwasili Doha mji mkuu wa Qatar ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.

  • Qatar yakaribisha kwa mikono miwili msimamo wa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Iran

    Qatar yakaribisha kwa mikono miwili msimamo wa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Iran

    Apr 29, 2021 03:36

    Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amekaribisha kwa mikono miwili msimamo mpya wa Mohammad bin Salman mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia wa kuonyesha hamu iliyonayo nchi yake ya kuanzisha tena uhusiano na Iran.

  • Safari ya Hassan Diab nchini Qatar; malengo na umuhimu wake

    Safari ya Hassan Diab nchini Qatar; malengo na umuhimu wake

    Apr 20, 2021 06:25

    Hassan Diab, Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon Jumapili ya juzi tarehe 18 Aprili aliwasili Doha, mji mkuu wa Qatar ikiwa ni safari yake ya kwanza nje ya nchi tangu ulipoanza mwaka huu wa 2021.

  • Hassan Diab: Lebanon inakaribia kusambaratika

    Hassan Diab: Lebanon inakaribia kusambaratika

    Apr 19, 2021 23:07

    Waziri Mkuu wa muda wa Lebanon amesema ana wasiwasi juu ya hatari ya kusambaratika nchi yake kutokana na migogoro mikubwa iliyojitokeza na ambayo haijaweza kutatuliwa, ukiwemo wa kuunda serikali mpya.

  • Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar

    Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar

    Mar 12, 2021 23:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan huko Moscow mji mkuu wa Russia si kwa ajili ya kuyashindanisha na mazungumzo ya makundi ya Kiafghani huko Qatar ; bali yatafanyika kwa ajili ya kusaidia mchakato huo.

  • Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo

    Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo

    Feb 16, 2021 00:05

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi vinaweza kuimarishwa tu kupitia ushirikiano wa mataifa ya eneo hili na wala si kwa uingiliaji wa madola ajinabi.

  • Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo

    Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo

    Feb 12, 2021 04:13

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Doha, Qatar ameipongeza nchi hiyo kwa kufanya juhudi za kuanzisha mchakato wa kieneo wa kutatua migogoro ya eneo hili.

  • Qatar yaishukuru Iran; sisitizo la nafasi chanya ya Iran katika kuleta uthabiti na amani katika eneo

    Qatar yaishukuru Iran; sisitizo la nafasi chanya ya Iran katika kuleta uthabiti na amani katika eneo

    Jan 29, 2021 06:03

    Huku akisisitiza kuwa uhusiano wa Qatar na nchi mbili za Iran na Uturuki ni mzuri sana, Lolwah al Khater, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amezishukuru nchi hizo kwa kuwa pembeni ya taifa hilo wakati ilipokuwa chini ya mgogoro mkubwa wa kuzingirwa na majirani zake.

  • Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia

    Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia

    Jan 19, 2021 23:09

    Sambamba na kumalizika kipindi cha uongozi wa Donald Trump nchini Marekani, kumedhihirika bayana ishara za mabadiliko katika siasa na sera za kieneo za Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS