-
Rais wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu inapambana na vitendo vya kuhatarisha usalama na kuzusha machafuko katika eneo hili
Oct 04, 2024 02:26Rais wa Iran amesisitiza kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utafanya kosa lolote la kijinai, basi utakumbwa na jibu madhubuti na kali na kwamba Jamhuri ya Kiislamu inapambana na vitendo vya utawala ghasibu wa Kizayuni vya kuzusha machafuko na kueneza mgogoro katika eneo hili.
-
Iran na Qatar zatiliana saini hati 6 za mikataba ya ushirikiano
Oct 03, 2024 04:22Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamelitiana saini hati 6 za mikataba ya ushirikiano wa pamoja katika nyanja mbalimbali.
-
Qatar yataka mataifa ya Kiislamu kuungana kupambana na utawala wa Kizayuni
Oct 02, 2024 02:30Waziri mshauri wa serikali ya Qatar katika masuala ya uhusiano wa kimataifa ameonya kuhusu hatari ya kuzuka vita vikubwa vya ukanda mzima wa Asia Magharibi na ametaka mataifa ya Kiislamu yaungane kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji ya kizazi huko Palestina na Lebanon.
-
Rais wa Iran kuelekea Qatar kesho Jumatano
Oct 01, 2024 13:53Rais wa Iran kesho Jumatano ataondoka hapa Tehran na kuelekea Qatar kwa madhumuni ya kushiriki katika kikao rasmi cha nchi mbili na kushiriki katika Jukwaa la Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia.
-
Pezeshkian: Waislamu lazima waungane kukomesha jinai za Israel
Aug 27, 2024 02:35Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna haja kwa mataifa ya Waislamu pamoja na nchi nyingine duniani kuungana na kuwa na sauti moja katika kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake kukomesha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Bagheri Kani: Mataifa ya eneo yachukue hatua za kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Jun 20, 2024 12:48Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, hali ya eneo na maslahi ya mataifa ya eneo hili yanahitaji kutumia uwezo wao wote kusimamisha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza na kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Uhusiano wa Iran na Qatar unaendelea kuimarika katika nyanja zote
Jun 14, 2024 02:13Safari ya Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Qatar na kukutana kwake na Amir wa nchi hiyo kumefanyika katika mazingira ya kirafiki jambo linaloonyesha kuwa uhusiano wa Doha na Tehran unazidi kukua na kuimarika katika nyanja zote.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza kuendelea ushirikiano kati ya Iran na Qatar
May 23, 2024 05:02Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika kikao na "Tamim bin Hamad Al-Thani" Amir wa Qatar na ujumbe aliofuatana nao, ameishukuru Qatar kwa rambirambi zake katika msiba wa kufa shahidi Sayyid Ebrahim Raisi na mashahidi wenzake, na kusisitiza haja ya kuendelea ushirikiano kati ya nchi hizi mbili.
-
Amir wa Qatar na Waziri Mkuu wa Malaysia wajadili uhusiano wa pande mbili na hali ya Gaza
May 14, 2024 07:14Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amekutana na kufanya mazungumzo na Anwar Ibrahim Waziri Mkuu wa Malaysia katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha. Waziri Mkuu wa Malaysia yuko nchini Qatar kwa ziara ya siku tatu.
-
Mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza na uwezekano wa Qatar kuangalia upya sera zake za kigeni za usuluhishi
Apr 21, 2024 02:17Muhammad bin Abdulrahman Al Thani Waziri Mkuu wa Qatar amesema kuwa nchi hiyo inatathmini upya nafasi yake kama msuluhishi kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).