Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Bahrain yataka Qatar ipokonywe uanachama wa baraza la PGCC

    Bahrain yataka Qatar ipokonywe uanachama wa baraza la PGCC

    Oct 30, 2017 04:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain, Khalid bin Ahmed Aal Khalifah ametoa mwito wa kuondolewa Bahrain kwenye Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi (PGCC).

  • Amir wa Qatar awaonya wanaofanya njama za kuishambulia kijeshi nchi yake

    Amir wa Qatar awaonya wanaofanya njama za kuishambulia kijeshi nchi yake

    Oct 29, 2017 12:25

    Amir wa Qatar, Tamim Bin Hamad al-Thani ameonya kuwa, hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi italitumbukiza eneo zima la Mashariki ya Kati katika machafuko.

  • Marekani iliratibu misaada kwa magaidi Syria, afichua waziri mkuu wa zamani wa Qatar

    Marekani iliratibu misaada kwa magaidi Syria, afichua waziri mkuu wa zamani wa Qatar

    Oct 28, 2017 23:35

    Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar Hamad bin Jassim amefichua namna Marekani ilivyokuwa ikishirikiana na Saudi Arabia, Uturuki na Qatar yenyewe katika kiwafikishia misaada magaidi kwa lengo la kuiondoa madarakani serikali ya Syria tokea mapigano yaanze nchini humo mwaka 2011.

  • Tillerson: Nchi zinazoizingira Qatar ndio wahusika wa kuendelea mgogoro na nchi hiyo

    Tillerson: Nchi zinazoizingira Qatar ndio wahusika wa kuendelea mgogoro na nchi hiyo

    Oct 20, 2017 01:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex W. Tillerson amekiri wazi kwamba nchi zinazoshiriki katika kuizingira na kuiwekea vikwazo Qatar, ndio wahusika wa kuendelea mgogoro wa taifa hilo dogo la Kiarabu.

  • Imarati ilitaka kuivamia kijeshi Qatar kwa kutumia mamluki wa US

    Imarati ilitaka kuivamia kijeshi Qatar kwa kutumia mamluki wa US

    Oct 15, 2017 04:20

    Imebainika kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulikula njama ya kuishambulia kijeshi Qatar, kwa kutumia maelfu ya mamluki waliopata mafunzo ya kijeshi kutoka kampuni moja ya Marekani.

  • Imarati yaitaka Qatar isiandae Kombe la Dunia 2022

    Imarati yaitaka Qatar isiandae Kombe la Dunia 2022

    Oct 09, 2017 04:25

    Afisa wa ngazi za juu wa usalama katika Umoja wa Falme za Kiarabu amesema mgogoro uliopo kati ya Doha na nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia utapatiwa ufumbuzi iwapo Qatar itaachana na azma yake ya kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2022.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Muscat Oman

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Muscat Oman

    Oct 02, 2017 00:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo subuhi ameondoka Tehran na kuelekea ziarani mjini Muscat Oman kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo na Qatar.

  • Somalia yakerwa na hatua ya Galmudug kukata uhusiano na Qatar

    Somalia yakerwa na hatua ya Galmudug kukata uhusiano na Qatar

    Sep 22, 2017 04:27

    Serikali kuu ya Somalia imekosoa vikali hatua ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Galmudug kutangaza kuwa linaziunga mkono Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika mgogoro wa nchi za Kiarabu.

  • Misri: Kuna ulazima wa kutekeleza matakwa yaliyowasilishwa kwa Qatar

    Misri: Kuna ulazima wa kutekeleza matakwa yaliyowasilishwa kwa Qatar

    Sep 19, 2017 03:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa nchi nne zilizoiwekea vikwazo Qatar ziko tayari kutatua mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Njama mpya za Saudi Arabia dhidi ya Qatar

    Njama mpya za Saudi Arabia dhidi ya Qatar

    Sep 19, 2017 01:39

    Mwanamfalme, Abdullah bin Ali Aal Thani kutoka familia ya kifalme ya Qatar amekosoa siasa za Amir wa nchi hiyo, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani na kumtaka aitishie kikao cha kitaifa cha kujadili mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS