-
Hali bado ni tata, mgogoro waendelea, Qatar yakamata boti nyingine tatu za Bahrain
Sep 18, 2017 23:51Kamanda wa gadi ya ulinzi wa fukweni ya Bahrain amesema kuwa, vikosi vya ulinzi wa fukweni vya Qatar vimekamata boti tatu za nchi hiyo katika kipindi cha siku mbili zilizopita.
-
Sudan yaitupa mkono Saudia, sasa yakusudia kuimarisha zaidi mahusiano na Qatar
Sep 15, 2017 23:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan ameeleza kuwepo mazungumzo kati ya Sudan na Qatar kwa ajili ya kupanua zaidi mahusiano ya pande mbili.
-
Iran, mhimili wa vita vya maneno baina ya Qatar na Saudia ndani ya Arab League
Sep 14, 2017 03:05Katika hali ambayo kwa mara nyingine moto wa mgogoro kati ya Qatar na Saudia umeibuka, wawakilishi wa nchi mbili katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kwa mara nyingine wameshambuliana kwa maneno kuhusiana na nasafi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Masheikh wawili watiwa mbaroni Saudia kwa kosa la kufadhiliwa kifedha na Qatar
Sep 11, 2017 03:52Maafisa usalama nchini Saudi Arabia wamewatia mbaroni mashekhe wawili wa nchi hiyo kwa kosa la eti kufadhiliwa kifedha na Qatar katika harakati zao za kidini.
-
New York Times: Mgogoro wa Qatar umemshinda Trump
Sep 10, 2017 10:04Gazeti la New York Times la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameshindwa kutatua mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia.
-
Kutokuweko viashiria chanya vya kutatuliwa mgogoro wa Qatar na kundi la 3+1
Sep 09, 2017 03:33Licha ya kuwa kumeanza duru mpya ya juhudi za upatanishi wa kuutatua mgogoro unaofukuta kati ya Qatar na kundi la 3+1, lakini Mohammed bin Abdulrahman Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, nchi yake itakaa katika meza ya mazungumzo pale tu mamlaka ya kujitawala Doha yatakapoheshimiwa na kutotiwa dosari.
-
Saudia yakubali kufanya mazungumzo na Qatar na kisha kughairi baada ya madakika
Sep 09, 2017 03:23Saudi Arabia imesimamisha mpango wa kufanya mazungumzo na Qatar kuhusu jinsi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kati ya Doha na nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na utawala wa Riyadh, dakika chache baada ya kukubali kuja kwenye meza ya mazungumzo.
-
Qatar yashikilia msimamo wa kupinga masharti 13 ya Saudia ya kuanzisha tena uhusiano
Sep 08, 2017 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammad bin Abdulrahman Aal Thani amesema, masharti 13 yaliyowekwa na tawala za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia ambazo zimeiwekea nchi yake vikwazo, hayakubaliki kwani yanalenga kuhujumu mamlaka ya kijitawala Qatar.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Doha haiingilii masuala ya nchi yoyote
Sep 01, 2017 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa Doha haiingilii masuala ya nchi yoyote na wakati huo huo hairuhusu nchi nyingine kuingilia masuala yake.
-
Somalia yakataa "rushwa" ya Saudia, yagoma kujiunga na nchi zinazoisusia Qatar
Aug 30, 2017 22:23Rais wa Somalia amekataa pendekezo la kupewa Euro milioni 68 lililotolewa na utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia mkabala wa kujiunga na muungano wa nchi zilizokata uhusiano wao na kuisusia Qatar.