-
Imam wa msikiti wa Al-Aqsa: Macho ya walimwengu yameelekezwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 08, 2018 00:06Imam na Khatibu wa msikiti wa Al-Aqsa amesisitiza kuwa mamlaka ya msikiti huo yatabaki kuwa mikononi mwa Waislamu na kwamba wanaovamia na kukivunjia heshima kibla hicho cha kwanza cha Waislamu hawatopata faida yoyote.
-
Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI
Jun 07, 2018 10:28Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.
-
Mahojiano na Mwenyekiti wa Harakati ya Kenya na Palestina kuhusu Siku ya Quds+SAUTI
Jun 07, 2018 09:31Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa, Seifullah Murtadha amezungumza na Mwenyekiti wa Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina, Bw. Abdulqadir Nasser kuhusu umuhimu wa Siku ya Quds.
-
Maulama na shakhsia wa Kisuni Afghanistan waunga mkono mwito wa Imam Khomeini kuhusu siku ya Quds
Jun 06, 2018 10:16Maulama na shakhsia mbalimbali wa Kisuni nchini Afghanistan sambamba na kuunga mkono mwito wa Imam Ruhullah Khomein (MA) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na siku ya kimataifa ya Quds, wameutaka umma wa Kiislamu kusimama pamoja na taifa madhlum la Palestina katika siku hiyo.
-
Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds
Jun 05, 2018 22:04Gazeti moja la utawala wa Kizayuni wa Israel limefichua kuwa, Israel, Marekani, Saudi Arabia na baadhi ya nchi nyingine za Kiarabu zinahusika katika machafuko yanayoendelea nchini Jordan kutokana na nchi hiyo kushiriki katika kikao cha kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani uliokuweko Tel Aviv.
-
Ayatullah Jannati: Uhai wa Israel umeshafikia ukingoni
Jun 05, 2018 09:21Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kusisitiza kuwa: Uhai wa utawala wa Israel umefikia ukingoni, na muda si mrefu tutasherehekea kuangamizwa kwa utawala huo ili kuifuta shari yake katika kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya
Jun 04, 2018 23:21Wapenda haki na amani nchini Kenya watajiunga na wenzao kote duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa wiki hii.
-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 03:52Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.
-
Hizbullah: Taifa la Palestina litegemee muqawama, lisiwategemee viongozi wa Kiarabu wanafiki
Jun 03, 2018 23:46Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah, Nabil Qaouk amesisitiza kwamba, taifa la Palestina halitakiwi kuwategemea viongozi wa nchi za Kiarabu na vikao vyao, bali wategemee muqawama na stratijia yake.
-
Mkuu wa Kituo cha Kiislamu UK: Kwa mtazamo wa Imam Khomeini, Qur'ani imeleta ujumbe wa umoja
Jun 03, 2018 10:32Mkuu wa Kituo cha Kiislamu nchini Uingereza ameashiria Wasia wa Kimaanawi na Kisiasa wa Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba, kwa mtazamo wa kiongozi huyo Qur'ani imeleta ujumbe wa amani na umoja kwa jamii ya wanadamu.