-
Rais wa Palestina: Tutakata uhusiano na nchi zitakazohamishia balozi zake Quds
Jan 15, 2018 11:04Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametahadharisha kwamba, mamlaka hiyo itakata uhusiano wake na nchi yoyote ile ambayo itafuata uamuzi wa Marekani na kuuhamishia ubalozi wake huko Beitul-Muqaddas kutoka Tel-Aviv.
-
Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India
Jan 14, 2018 04:32Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.
-
Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa
Jan 14, 2018 04:29Naibu Spika wa Bunge la Burkina Faso ametoa mwito wa kusimamishwa utekelezwaji wa mpango wa Marekani wa kuuhamishia mjini Quds Tukufu, ubalozi wake ulioko Tel Aviv.
-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina
Jan 14, 2018 01:06Kaimu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Indonesia amesisitiza udharura wa kuchukuliwa hatua za kurejesha haki za taifa la Palestina na kusema bayana kwamba, daima Beitul-Muqaddas itaendelea kuwa mali ya Palestina.
-
Wakristo waendelea kuilaani Israel, waiambia Yerusalemu si mji wenu
Jan 13, 2018 04:19Askofu Mkuu wa Kanisa la Rome Orthodox linalojulikana kwa jina rasmi la Orthodox Catholic Church katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kwa mara nyingine tena amelaani jinai za Israel dhidi ya Wakristo na Waislamu na kusema kuwa, mji wa Quds (Yerusalemu) ni mali ya Wapalestina si mji wa Wazayuni.
-
Netanyahu: Makao ya Bunge na Serikali ya Israel yatakuwa Baitul Muqaddas
Jan 11, 2018 12:56Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema makao ya bunge na serikali ya utawala huo haramu yatahamishiwa mji wa Baitul Muqaddas.
-
Mahmoud Abbas: Marekani haina hadhi tena ya kuwa mpatanishi katika mgogoro wa Palestina
Jan 10, 2018 01:05Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amesema kuwa, uamuzi uliochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Quds tukufu (Jerusalem) ni hatari sana na umeharibu sura ya nchi hiyo katika duru za kimataifa.
-
Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Quds ni matunda ya mchezo wa kudansi na upanga wa Trump na Salman
Jan 06, 2018 13:19Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Nabil Qaouk amezitaja siasa za Saudia kuwa za maafa na kuongeza kuwa, kitendo cha kuvunjiwa heshima mji wa Quds na msikiti wake kinatokana na mchezo wa kudansi na upanga wa Rais Donald Trump wa Marekani na Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yamjibu Trump: Quds haiuzwi
Jan 03, 2018 11:59Msemaji wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametoa jibu kwa kitisho kilichotolewa na rais wa Marekani cha kukata msaada wa fedha wa dola milioni 300 unaotolewa na nchi hiyo kwa Wapalestina kwa kusisitiza kwamba Quds si kitu cha kuuzwa kwa pesa.
-
Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa: Mji mkuu wa Palestina ni Quds Tukufu
Dec 31, 2017 00:00Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa amesisitiza kuwa, ulilmwengu unapaswa kufahamu kuwa, Quds Tukufu (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina.