-
Harakati ya al-Nujabaa ya Iraq yatangaza utayarifu wake wa kuitetea Quds
Dec 30, 2017 23:59Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Iraq ya al-Nujabaa na ambayo ni sehemu ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo ametangaza utayarifu wa harakati yake kwa ajili ya kuitetea Quds (Jerusalem).
-
Kikao cha Bunge la Nchi za Kiarabu kwa jina la Palestina, kwa maslahi ya Israel
Dec 29, 2017 11:56Bunge la Nchi za Kiarabu lilikutana jana Alkhamisi katika mji mkuu wa Misri, Cairo kwa kaulimbiu ya: Quds, Mji Mkuu wa Milele wa Palestina. Hata hivyo kikao hicho kilibadilika na kuwa mahfali na medani na nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kongamano la Quds, Mji Mkuu wa daima wa Palestina
Dec 27, 2017 10:27Viongozi wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa, Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi pale rais wa Marekani atakapobatilisha uamuzi wake wa kuitambua Quds Tukufu kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea
Dec 27, 2017 00:20Viongozi kadhaa wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi utakapofutwa uamuzi uliotangazwa na rais wa Marekani wa kuitambua Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Palestina: Uamuzi wa Guatemala kuuhamishia ubalozi wake Quds ni 'fedheha'
Dec 26, 2017 04:00Palestina imekosoa vikali hatua ya Guatemala ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kukitaja kitendo hicho kama 'fedheha'.
-
Askofu wa Waarmenia Tehran: Wakristo hawaitambui Israel
Dec 26, 2017 00:58Askofu wa Kanisa la Armenia mjini Tehran amesisitiza kuwa, Wakristo hawatambui serikali inayojiita Israel.
-
Sheikh Nabil Qaouk: Kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la Hizbullah
Dec 25, 2017 11:31Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la harakati hiyo na kwamba, Hizbullah itaendelea kubakia mstari wa mbele katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Qassemi: Iran daima inafanya juhudi za kutetea haki za taifa la Palestina
Dec 25, 2017 11:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inafanya juhudi za kutumia mbinu za kidiplomasia kwa ajili ya kutetea haki za taifa la Palestina.
-
Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina
Dec 24, 2017 13:12Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.
-
Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia
Dec 24, 2017 12:13Wananchi wa Tunisia kwa mara nyingine wameshiriki katika maandamano makubwa ya kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.