Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Nchi za Afrika zaendelea kuunga mkono azimio la UN kuhusu Quds

    Nchi za Afrika zaendelea kuunga mkono azimio la UN kuhusu Quds

    Dec 23, 2017 11:55

    Nchi na jumuiya mbalimbali za Kiafrika zimeendelea kuunga mkono azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lililopinga hatua ya Marekani ya kuitambua Quds tukufu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.

  • Ismail Haniya: Quds Tukufu iliyoungana ni mji Mkuu wa Palestina

    Ismail Haniya: Quds Tukufu iliyoungana ni mji Mkuu wa Palestina

    Dec 23, 2017 11:53

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesema, mji wa Quds (Jerusalem) ulioungana ni mji mkuu wa nchi huru ya Palestina, na nchi za Kiislamu na Kiarabu hazitaipuuza Quds.

  • Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu: Marekani si dola kubwa tena duniani

    Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu: Marekani si dola kubwa tena duniani

    Dec 23, 2017 11:50

    Mshauri Mkuu wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Iran amesema kuwa, kushindwa Marekani katika mpango wake wa kuitambulisha Quds (Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kumeonesha kuwa, nchi hiyo si dola kubwa tena duniani.

  • Kiongozi wa Hamas: Kupitishwa azimio la Quds katika Baraza Kuu la UN ni ushindi wa haki

    Kiongozi wa Hamas: Kupitishwa azimio la Quds katika Baraza Kuu la UN ni ushindi wa haki

    Dec 22, 2017 03:25

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesema, kupitishwa azmio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Quds Tukufu ni "ushindi wa haki, uadilifu na historia."

  • Marekani yapata pigo jingine, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa launga mkono Quds

    Marekani yapata pigo jingine, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa launga mkono Quds

    Dec 22, 2017 00:57

    Licha ya vitisho vilivyotolewa na Marekani dhidi ya wanachama wa Umoja wa Mataifa, lakini Baraza Kuu la umoja huo limepasisha kwa kauli moja azimio linaloitaka Marekani kufuta kauli yake ya kuitambua Quds kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.

  • Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Dec 22, 2017 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu hatua ya hivi karibuni ya waziri wa mambo ya nje wa Bahrain aliyeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa eti kadhia ya Quds na Palestina si muhimu bali ni suala la pembeni tu.

  • Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka

    Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka

    Dec 21, 2017 12:48

    Kiongozi wa kiroho wa Wakristo wa Palestina Kasisi Manuel Musallam amesema, hatua iliyochukua Marekani hivi karibuni dhidi ya Quds inalenga kuanzisha vita vya kidini ambavyo vitafika mpaka Makka.

  • Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Dec 21, 2017 00:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali msimamo wa Marekani wa kupinga maamuzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Quds tukufu na kusema kuwa: Washington imebakia katika kiwango cha "ama uwe pamoja na sisi au dhidi yetu."

  • Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu

    Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu

    Dec 19, 2017 23:07

    Mwakilishi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina nchini Iran amesema Wapalestina wanahitaji msaada wa mataifa na serikali za Kiarabu na Kiislamu ili kuendeleza harakati ya mwamko au Intifadha dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran yaalani hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya veto azimio kuhusu Quds

    Iran yaalani hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya veto azimio kuhusu Quds

    Dec 19, 2017 04:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alilaani hatua ya Marekani ya kuupigia kura ya veto mswada uliopendekezwa na Misri kuhusu Quds na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kinyume na amani na usalama wa kimataifa kwa lengo la kukandamiza haki za wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS