Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yaonya kuhusu hatari ya ISIS nchini Afghanistan na uungaji mkono wa Marekani kwa kundi hilo

    Russia yaonya kuhusu hatari ya ISIS nchini Afghanistan na uungaji mkono wa Marekani kwa kundi hilo

    Nov 10, 2019 03:50

    Russia imeonya mara kadhaa kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Afghanistan na kuongeza kuwa magaidi hao wakufurishaji wanaungwa mkono na Marekani.

  • Sisitizo la Rais Macron wa Ufaransa kuwa Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Sisitizo la Rais Macron wa Ufaransa kuwa Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Nov 09, 2019 04:05

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa aklilidunisha Shirika la Kijeshi la Muungano wa Nchi za Magharibi (NATO) huku akikosoa wananchama wa muungano huo kutokana na kutoshiriki katika kuchangia bajeti ya muungano huo hasa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi.

  • Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Nov 08, 2019 04:59

    Russia ikiwa mmoja wa wanachama wa kundi la 4+1 daima imekuwa ikisisitiza kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kukosoa vikali hatua ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya upande mmoja, baada ya yenyewe kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa, ikisema kuwa huo ni ukiukaji wa wazi wa Washington wa mapatano hayo.

  • Russia: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimefeli

    Russia: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimefeli

    Nov 08, 2019 04:32

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina natija yoyote na vimefeli.

  • Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh

    Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh

    Nov 02, 2019 23:02

    Baada ya kuanza mgogoro wa Syria hapo mwaka 2011 na vita vilivyosababishwa na mgogoro huo, Marekani ilikuwa na nafasi muhimu na kuu katika kuundwa na kujitokeza makundi ya kigaidi nchini humo hususan kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh; suala ambalo Washington imefanya jitihada kubwa za klificha kwa kuanzisha kile ilichodai ni muungano wa kupambana na Daesh.

  • Idara ya Intelijensia ya Russia: Hakuna ushahidi kuwa al-Baghdadi ameuawa

    Idara ya Intelijensia ya Russia: Hakuna ushahidi kuwa al-Baghdadi ameuawa

    Nov 02, 2019 01:47

    Idara ya intelijensia ya masuala ya kigeni ya Russia (SVR) imesema kuwa hakuna nyaraka thabiti zinazothibisha kwamba Abubakar al-Baghdadi, Kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ameuawa.

  • Russia: Kuna ugumu katika utekelezaji wa makubaliano tuliyofikia na Uturuki kuhusu Syria

    Russia: Kuna ugumu katika utekelezaji wa makubaliano tuliyofikia na Uturuki kuhusu Syria

    Oct 30, 2019 23:01

    Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoygu amesema, utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi yake na Uturuki kuhusu Syria umekuwa ukisuasua.

  • Jitihada za Russia za kuwa na taathira katika matukio ya kaskazini mwa Syria

    Jitihada za Russia za kuwa na taathira katika matukio ya kaskazini mwa Syria

    Oct 24, 2019 04:10

    Russia kama mmoja wa wahusika wakuu wa yale yanayojiri nchini Syria imetangaza msimamo wake kuhusu hujuma ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria na imejitahidi kufikia mapatano na Uturuki ambayo yataweza kudhamini matakwa ya kiusalama ya Ankara na wakati huo huo kuandaa mazingira ya kuiwezesha serikali ya Syria kurejesha tena mamlaka yake katika eneo hilo.

  • Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika

    Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika

    Oct 23, 2019 23:18

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi yake na nchi za bara Afrika.

  • Badala ya ubabe na unyonyaji wa Magharibi, Russia yataka kuamiliana na Afrika kwa msingi wa maslahi ya pande mbili

    Badala ya ubabe na unyonyaji wa Magharibi, Russia yataka kuamiliana na Afrika kwa msingi wa maslahi ya pande mbili

    Oct 23, 2019 03:14

    Russia, ambayo ni moja ya madola makubwa duniani imeukosoa muelekeo na muamala wa Magharibi kwa bara la Afrika ambao siku zote huwa ni wa unyonyaji na utumiaji mabavu na badala yake inataka kustawisha uhusiano wake na nchi za bara hilo kwa msingi wa kuzingatia manufaa na maslahi ya pande zote mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS