Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yatupilia mbali tuhuma za Mark Zuckerberg wa Facebook dhidi ya nchi hiyo na Iran

    Russia yatupilia mbali tuhuma za Mark Zuckerberg wa Facebook dhidi ya nchi hiyo na Iran

    Oct 22, 2019 23:15

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amezitaja tuhuma za hivi karibuni za mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg dhidi ya Iran na Russia kuwa ni bandia na zisizo na msingi.

  • Russia kuchagua sarafu mpya zitakazochukua nafasi ya dola

    Russia kuchagua sarafu mpya zitakazochukua nafasi ya dola

    Oct 21, 2019 23:47

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha wa Russia ametangaza kuwa nchi hiyo imeanisha Euro na Yuan kuwa sarafu za kigeni itakazotumia katika miamala yake ya kifedha.

  • Russia: Ulaya pia imechoshwa na siasa za ubeberu za Marekani

    Russia: Ulaya pia imechoshwa na siasa za ubeberu za Marekani

    Oct 19, 2019 12:03

    Waziri Mkuu wa Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa, nchi za Ulaya pia zimechochwa na siasa za ubeberu za Marekani.

  • Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria

    Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria

    Oct 18, 2019 23:09

    Rais wa Syria amesema kuwa wanajeshi vamizi wa nchi za kigeni wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa kuna ulazima wanajeshi hao kuondoka katika eneo hilo.

  • Russia yafanyia majaribio makombora ya kisasa ya nyuklia karibu na Marekani

    Russia yafanyia majaribio makombora ya kisasa ya nyuklia karibu na Marekani

    Oct 18, 2019 04:10

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameshuhudia majarbio ya makombora matano ya kisasa ya nyuklia katika eneo la Bahari ya Arctic nchini humo ambalo linapakana na Marekani.

  • Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran

    Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran

    Oct 17, 2019 06:55

    Mwakilishi maalumu wa Rais Vladimir Putin wa Russia amekuja hapa Tehran na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya Syria na wamejadiliana matukio ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria

    Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria

    Oct 16, 2019 07:29

    Russia ikiwa moja ya nchi muhimu katika medani na matukio ya Syria imetangaza msimamo wake kuhusiana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria.

  • Rais Putin apinga madai ya kuhusika Iran katika hujuma dhidi ya Aramco, Saudia

    Rais Putin apinga madai ya kuhusika Iran katika hujuma dhidi ya Aramco, Saudia

    Oct 13, 2019 23:25

    Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga kutuhumiwa Iran kuwa ilihusika katika shambulizi dhidi ya kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia.

  • Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa

    Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa

    Oct 10, 2019 03:02

    Kwa kuzingatia kuwa, makao makuu ya Umoja wa Mataifa yapo mjini New York, siku zote Marekani imekuwa ikilitumia suala la kutoa visa kwa jumbe na washiriki wa mikutano na vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi zinazoipinga na zisizokubaliana na siasa zake.

  • Uturuki na Russia zatupilia mbali sarafu ya dola katika biashara

    Uturuki na Russia zatupilia mbali sarafu ya dola katika biashara

    Oct 10, 2019 00:49

    Uturuki na Russia zimetia saini mapatano ya kutupilia mbali sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara baina yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS