-
Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani
Aug 13, 2019 03:42Katika kipindi chote cha utawala wa Rais Vladmir Putin nchini Russia Wamagharibi wamekuwa wakifanya kila wawezalo kuzusha ghasia na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Nchi za Magharibi hususan Marekani, zimekuwa zikitumia zaidi propaganda chafu na vita vya kinafsi dhidi ya Russia na nchi nyingine zisizokubaliana na sera zao za kibeberu.
-
Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi
Aug 13, 2019 02:43Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Eshaq Jahangiri amesema Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la kistratijia la Hormuz na kutumia ukosefu wa usalama kama kisingizo cha kujiimarisha kijeshi katika eneo.
-
Russia yaituhumu Marekani na nchi za Ulaya kuwa zimechochea machafuko Moscow
Aug 05, 2019 07:01Msemaji wa Wizara ya Mambo y Nje ya Russia amesema kuwa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zimehusika katika machafuko yaliyotokea hivi karibuni mjini Moscow.
-
Gorbachev: Kujitoa Marekani katika mkataba wa INF kutasababisha hali ya mchafukoge duniani
Aug 04, 2019 09:11Kiongozi wa mwisho wa lililokuwa Shirikisho la Kisovieti la Urusi, Mikhail Gorbachev ameikosoa Marekani kwa kujitoa katika mkataba unaopiga marufuku silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF) na kueleza kwamba: Hatua hiyo ya Washington ni mwanzo wa mashindano mapya ya uundaji silaha na kuanza hali ya mchafukoge duniani.
-
Zarif amwambia Pompeo: Kipindi cha "madola makubwa" kimepita
Aug 03, 2019 02:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwambia wenzake wa Marekani kwamba kipindi cha madola makubwa kimepita muda mrefu huko nyuma.
-
Marekani yatangaza rasmi kujitoa kwenye mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF)
Aug 02, 2019 08:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametangaza rasmi kujitoa nchi yake katika mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF).
-
Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria
Aug 01, 2019 20:46Syria imekuwa ikikabiliwa na hali ya mchafukoge tangu mwakak 2011 na kisha ikatumbukia katika vita vya ndani baina ya serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo na waungaji mkono wake kwa upande mmoja na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na madola ya Magharibi na washirika wao wa Kiarabu kwa upande wa pili.
-
Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa
Jul 30, 2019 06:24Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.
-
Wasiwasi wa Russia wa kuwekwa silaha za Marekani katika anga za mbali
Jul 28, 2019 06:35Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ambaye siku zote amekuwa akisisitiza udharura wa kuimarishwa nguvu ya jeshi la nchi hiyo, sasa inafuatilia mipango ya kuweka silaha zake tofauti katika anga za mbali, ikiwemo mifumo ya kukabiliana na makombora.
-
Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo
Jul 26, 2019 02:57Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.