-
Russia yapinga kuwepo majeshi ya nchi za kigeni Ghuba ya Uajemi
Jul 24, 2019 03:45Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuwepo majeshi ya kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunasababisha hatari ya kutokea vita.
-
Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela
Jul 23, 2019 03:03Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, siasa za upande mmoja za Washington dhidi ya nchi tofauti zinazopinga ubeberu na kupenda makubwa kwa Marekani, ikiwemo Venezuela , zimebadilika kuwa moja ya tofauti za msingi kati ya serikali ya Moscow na Washington.
-
Sisitizo la Russia la haki ya kurutubisha urani ziliyonayo nchi zote zilizosaini mkataba wa NPT
Jul 22, 2019 07:38Viongozi wa serikali ya Marekani wanapiga upatu wa kutaka Iran izuiwe kunufaika na haki yake ya kurutubisha urani sambamba na kushadidisha mbinyo na mashinikizo dhidi ya Tehran ili isimamishe shughuli zake za nyuklia, ilhali mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT), unazidhaminia nchi zote zilizosaini mkataba huo haki ya kurutubisha madini hayo.
-
Ujumbe wa Putin kwa Bashar al Assad: Russia itaendelea kuiunga mkono Syria
Jul 21, 2019 22:01Rais wa Russia amesisitiza katika ujumbe aliomtumia Rais mwenzake wa Syria kwamba Moscow itaendelea kuunga mkono umoja wa ardhi yote ya Syria.
-
Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki
Jul 19, 2019 01:50Hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.
-
Russia na Hamas zafanya mazungumzo mjini Moscow
Jul 17, 2019 03:13Ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS umekutana mjini Moscow na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Mikhail Bogdanov ambapo pande mbili zimesisitizia umuhimu wa umoja wa Wapalestina kwa shabaha ya kuzima njama ya Marekani iliyopewa jina la Muamala wa Karne.
-
Iran: Hakuna mazungumzo yoyote baina yetu na Marekani
Jul 14, 2019 06:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haifanyi mazungumzo ya kiwango chochote kile na viongozi wa Marekani.
-
Uturuki yaanza kupokea mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia
Jul 12, 2019 20:38Uturuki imepokea shehena ya kwanza ya mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia licha ya makelele na vitisho vya Marekani.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu Syria kuanza tena
Jul 11, 2019 21:55Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria inatazamiwa kuanza mapema mwezi ujao wa Agosti huko Nur-Sultan mji mkuu wa Kazakhstan.
-
Russia: Marekani haina haki ya kuikosoa Iran kuhusiana na JCPOA
Jul 11, 2019 03:48Mwakilishi wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA amesema kuwa Marekani haina haki yoyote ya kisheria ya kuikosoa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua yake ya kupunguza ahadi zake kuhusiana na mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA.