-
Russia yaunga mkono njia ya kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria
Jul 05, 2019 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amehimiza kufanyika juhudi zaidi za kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria na kujiepusha na kutumia mabavu.
-
Putin: Magaidi wanatorokea Libya, wakitokea Syria
Jul 05, 2019 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Russia yaunga mkono mazungumzo baina ya Iran na nchi za Kiarabu
Jul 04, 2019 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, anaunga mkono na kushajiisha mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Kiarabu.
-
Moscow yatahadharisha kuhusu tuhuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2020
Jul 03, 2019 22:11Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amewaambia wabunge wa Marekani kwamba Moscow inapinga uingiliaji kati wowote katika uchaguzi ujao wa Rais wa Marekani.
-
Lavrov na afisa wa UN wasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mzozo wa Yemen
Jul 02, 2019 07:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen wamesisitiza ulazima wa kufanyika juhudi ili kuhitimisha hali ya mgogoro huko Yemen..
-
Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 22, 2019 08:16Vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran ni vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vinavyokinzana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA. Nchi za kundi la 4+1 limelaani vikwazo hivyo dhidi ya Iran.
-
Russia: Iran inapambana vilivyo na vitendo vya kigaidi
Jun 21, 2019 05:20Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ameunga mkono kuweko washauri wa kijeshi wa Iran nchini Syria na kusisitiza kuwa, washauri hao wa kijeshi wako nchini humo kwa mwaliko rasmi wa serikali ya Damascus.
-
Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran
Jun 21, 2019 04:48Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Russia: Marekani inapaswa kurejea haraka kwenye JCPOA
Jun 19, 2019 03:18Russia imesema Marekani inapaswa kurejea mara moja kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA
Jun 17, 2019 00:04Hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na pia ukiukaji wa ahadi wa mara kwa mara wa Umoja wa Ulaya ambao umeshindwa kulinda mapatano hayo kupitia kuanzisha mfumo utakaosaidia kupunguza athari hasi za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, ni mambo yaliyoyaweka katika hali mbaya mapatano hayo.