-
Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi
Jun 15, 2019 21:46Marekani katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump imeanzisha jitihada za kuasisi muungano na kuimarisha uwepo wake katika eneo la Asia magharibi hususan katika Ghuba ya Uajemi kwa kisingizio cha eti kuwepo vitisho kutoka kwa Iran.
-
Russia yaishukuru Iran kwa juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa meli zilizoshambuliwa
Jun 15, 2019 00:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa shukurani zake za dhati kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa Kirusi waliokuwa kwenye meli mbili za mafuta zilizoshambuliwa siku ya Alkhamisi katika maji ya Bahari ya Oman.
-
Marekani yakiri kutumia Intaneti kushambulia nchi nyingine
Jun 11, 2019 22:35Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ametangaza waziwazi kuwa Washington inatumia mawasiliano ya kumpyuta kushambulia baadhi ya nchi duniani.
-
Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija
Jun 08, 2019 22:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija yoyote.
-
Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu
Jun 07, 2019 21:47Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika Masuala ya Ulinzi amesema kwamba, Moscow haijapata ombi kutoka Iran la kuiuzia ngao ya makombora ya S-400.
-
Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 06, 2019 22:39Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 06, 2019 03:19Marais wa Russia na China sanjari na kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran, lakini pia wamezitaka pande husika kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kama JCPOA.
-
Takwa la Moscow na Damascus la kuondoka askari wa Marekani nchini Syria
May 30, 2019 03:22Licha ya kutangazwa kwa mara ya kwanza na Rais Donald Trump wa Marekani habari ya kuondoka askari wa nchi yake kutoka Syria, hapo tarehe 19 Disemba mwaka jana, lakini hadi sasa Washington imeendelea kusisitizia kubakisha askari wake nchini humo.
-
China na Russia kususia mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina, Bahrain
May 29, 2019 03:30Serikali za China na Russia zimetangaza kuwa hazitashiriki mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.
-
Russia kutuma wataalamu wa kijeshi nchini Kongo DR
May 28, 2019 22:01Serikali ya Russia imetangaza kuwa imeazimia kutuma wataalamu wake wa kijeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuimarisha uwepo wake wa kijeshi barani Afrika.