-
Mikwaruzano inazidi kushadidi kati ya Marekani na Russia kuhusiana na Venezuela
Mar 26, 2019 02:24Kauli za tuhuma na uafriti wa Marekani dhidi ya Russia na Venezuela vimezidi kupamba moto kufuatia hatua ya Moscow kutuma shehena ya misaada nchini Venezuela.
-
Ndege za Russia zilizobeba shehena ya misaada zatua Venezuela zikiwa na maafisa wa kijeshi
Mar 25, 2019 03:20Ndege mbili za Russia zilizobeba tani elfu 35 za misaada zimetua mjini Caracas, mji mkuu wa Venezuela.
-
Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS
Mar 24, 2019 10:47Russia, Syria na Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch wamepinga madai ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kwamba magaidi wa Daesh (ISIS) wameshasambaratishwa kikamilifu katika nchi za Iraq na Syria.
-
Russia: Marekani isijaribu kuingilia kijeshi Venezuela, tutahakikisha tunalinda maslahi yetu
Mar 20, 2019 12:43Serikali ya Russia imeionya vikali Marekani isijaribu kufanya uingiliaji wa aina yoyote wa kijeshi nchini Venezuela na kusisitiza kwamba Moscow italinda maslahi yake nchini humo.
-
Russia: Magaidi wote wa kigeni Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus
Mar 16, 2019 01:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, kinyume na matakwa ya Marekani, magaidi wote wa nchi za kigeni walioko Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus.
-
Russia yaionya Marekani isijaribu kuyawekea vikwazo mashirika yake nchini Venezuela
Mar 13, 2019 23:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa onyo kwa Marekani isijaribu kuyawekea vikwazo mashirika ya nchi hiyo yanayofanya kazi nchini Venezuela.
-
Radiamali kali ya Russia kufuatia kushtadi mashinikizo ya Marekani kwa Uturuki kuhusu ngao ya S 400
Mar 10, 2019 07:56Uhusiano wa Marekani na Uturuki katika miaka ya hivi karibuni, yaani baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya tarehe 15 Julai 2016, umekuwa na mizozo mingi.
-
Brigedia Jenerali Momeni: Iran imekamata tani 806 za mihadarati mwaka 2018
Mar 09, 2019 03:41Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amesema kuwa, mwaka 2018 Tehran ilikamata tani 806 za madawa ya kulevya.
-
Kufichuliwa na Maduro lengo halisi la Marekani la kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela
Mar 09, 2019 00:50Wakati mgogoro wa kisiasa ukiwa unaendelea nchini Venezuela sambamba na kuongezeka harakati za Juan Guaido, kiongozi wa wapinzani aliyejitangaza rais, za kushadidisha mgogoro huo, njama na hatua za serikali ya Marekani za kutaka kubadilisha hali ya mambo katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini, nazo pia zimezidi kupamba moto.
-
Uturuki: Wanachama wa NATO wasiingilie maamuzi yetu juu ya ununuzi wa mfumo wa S 400
Mar 07, 2019 00:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amewataka wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) waache kuingilia kwa namna yoyote ile maamuzi yanayochukuliwa na serikali ya nchi hiyo.