-
Russia yakanusha madai ya Marekani kuhusu mkataba wa makombora ya nyuklia
Oct 22, 2018 23:30Msemaji wa Rais wa Russia amesema kuwa madai yanayotolewa na Marekani dhidi ya Russia kwamba imekiuka mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati ni urongo na hayana msingi wowote.
-
Lavrov ataka kuharakishwa uchunguzi kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 21, 2018 11:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza ulazima wa kuharakishwa uchunguzi kuhusu mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia.
-
Marekani na nia yake ya kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati
Oct 21, 2018 04:47Miongoni mwa nyanja muhimu za mivutano ya mara kwa mara baina ya Russia na Marekani hususan katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni masuala ya kijeshi na silaha. Hivi sasa na baada ya Marekani kujiondoa katika mikataba kadhaa ya kimataifa kumeongezeka wasiwasi kwamba, yumkini nchi hiyo ikajiondoa pia katika baadhi ya mikataba wa silaha.
-
Iran, Uturuki, Russia na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke sarafu ya dola ya Marekani
Oct 19, 2018 21:39Kikao cha "Changamoto na Fursa za Biashara kwa Fedha za Taifa" kilifanyika jana Ijumaa mjini Ankara Uturuki na kushirikisha maafisa na wataalamu kutoka nchi za Iran, Uturuki, Russia na India.
-
Rais Putin: Russia itatoa jibu kali kwa shambulio lolote la nyuklia dhidi yake
Oct 19, 2018 01:09Rais Vladimir Putin wa Rusia ameyaonya madola ya Magharibi akiyaambia kwamba, shambulio lolote lile la nyuklia dhidi ya nchi hiyo litakabiliwa na jibu kali na lisiloepukika.
-
Russia: Mkataba wa marufuku ya majaribio ya silaha za nyuklia duniani utekelezwe
Oct 17, 2018 03:18Waziri wa Mambo ya nje wa Russia amesisitiza tena ulazima wa kupigwa marufuku majaribio ya silaha za nyuklia kote duniani na kuanza kutekelezwa mkataba wa marufuku ya majaribio ya silaha hizo haraka iwezekanavyo.
-
Russia yataka uchunguzi ufanyike kuhusu muungano wa Marekani kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Syria
Oct 14, 2018 04:19Baada ya kuzuka machafuko na vita vya ndani nchini Syria Marekani imekuwa ikishirikiana kwa karibu na magaidi wa kitakfiri pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu kwa ajili ya kuing'oa madarakani serikali halali ya Rais Bashar al-Asad wa nchi hiyo.
-
Russia yafichua njama ya magaidi ya kutumia silaha za kemikali Syria
Oct 13, 2018 12:25Russia imetangaza kuwa, ina habari za kipelelezi kuhusu njama inayopangwa na magaidi kwa ajili ya kutumia silaha za kemikali katika eneo la Idlib huko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Waziri wa Nishati wa Russia ajibu madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia
Oct 10, 2018 22:58Waziri wa Nishati wa Russia amepinga madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu mafuta.
-
Russia yasisitiza, Iran ina mchango mkubwa katika kupambana na ugaidi
Oct 10, 2018 03:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, askari wa Iran wana mchango mkubwa katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini Syria.