Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Sisitizo la Russia na India la kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Sisitizo la Russia na India la kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 07, 2018 23:03

    India na Russia wakiwa wanachama wa kundi la BRICS ambao wanataka mabadiliko katika muundo wa kimataifa utakao kuwa mbali na udhibiti wa Magharibi hususan Marekani, zimetangaza tena uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Oct 05, 2018 03:07

    Russia na India zimeimarisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijeshi na silaha za nyuklia katika kipindi cha baada ya Vita Baridi na wakati huo huo zikiwa wanachama wa kundi la Brics, zinafnya jitihada za kupanua zaidi ushirikiano wa pande mbili.

  • Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Sep 30, 2018 04:04

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.

  • Sergey Lavrov: Kuondoka mashirika ya Ulaya nchini Iran ni kosa kubwa

    Sergey Lavrov: Kuondoka mashirika ya Ulaya nchini Iran ni kosa kubwa

    Sep 29, 2018 21:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, sambamba na kuunga mkono ubunifu wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuanzisha mfumo wa mabadilishano ya kifedha pamoja na Iran, amesema kuwa kuondoka mashirika ya Ulaya nchini Iran, ni kosa kubwa.

  • Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Algeria

    Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Algeria

    Sep 29, 2018 11:14

    Msemaji wa ubalozi wa Marekani mjini Algiers amesema kuwa, Washington hivi sasa inachunguza uwezekano wa kuiwekea vikwazo Algeria kutokana na kununua silaha kutoka Russia.

  • Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jinamizi la mfumo wa makombora wa ulinzi wa anga wa S-300 linainyemelea Israel

    Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jinamizi la mfumo wa makombora wa ulinzi wa anga wa S-300 linainyemelea Israel

    Sep 26, 2018 00:36

    Vyombo vya habari vya Israel vimesema uamuzi wa serikali ya Russia wa kulipatia jeshi la Syria mfumo wa makombora ya ulinzi wa anga wa S-300 ni jinamizi kwa utawala huo wa Kizayuni.

  • Kiongozi wa upinzani nchini Russia atiwa mbaroni kwa mara nyingine

    Kiongozi wa upinzani nchini Russia atiwa mbaroni kwa mara nyingine

    Sep 24, 2018 22:53

    Kiongozi wa upinzani nchini Russia ametiwa mbaroni kwa mara nyingine baada ya kushikiliwa kwa muda wa mwezi mmoja na kuachiliwa.

  • Putin ataka jeshi la Russia lipewe kizazi kipya cha silaha

    Putin ataka jeshi la Russia lipewe kizazi kipya cha silaha

    Sep 20, 2018 10:44

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesisitiza udharura wa kukabidhiwa jeshi la nchi hiyo kizazi kipya cha silaha kwa ajili ya kulifanya jeshi hilo kuwa bora zaidi.

  • Russia: Uchokozi wa Israel wa kutuulia watu wetu Syria lazima utajibiwa

    Russia: Uchokozi wa Israel wa kutuulia watu wetu Syria lazima utajibiwa

    Sep 19, 2018 23:16

    Mbali na Rais Vladimir Putin na viongozi wengine mbalimbali wa kiserikali wa Russia kusisitizia wajibu wa kujibiwa mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Syria, mkuu wa akademia ya masuala ya jeopolitiki ya Russia naye ametilia mkazo msimamo huo.

  • Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria

    Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria

    Sep 19, 2018 03:22

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema operesheni za anga za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika anga ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka na kujitawala serikali halali ya sasa ya Damascus. Putin amesema hayo huku mgogoro kuhusu ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo Kiarabu ukiendelea kutokota.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS