Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Shamkhani: Baadhi ya nchi zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi

    Shamkhani: Baadhi ya nchi zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi

    May 23, 2017 11:25

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, baadhi ya nchi za eneo zinazofadhili na kuunga mkono ugaidi zinatumia mapato yao ya mafuta kuigeuza Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi na kushamirisha machafuko na vitendo vya ukatili.

  • Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri

    Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri

    May 17, 2017 23:57

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa taarifa zozote za siri Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi yake, Sargey Lavrov.

  • Balaklanev: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo cha demokrasia Mashariki ya Kati

    Balaklanev: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo cha demokrasia Mashariki ya Kati

    May 17, 2017 03:11

    Mkuu wa jamii ya Waislamu wa Kishia nchini Russia amesisitiza kuwa, Iran ndiyo nchi yenye mfumo wa kidemokrasia zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo kilichofanikiwa cha utawala wa wananchi katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Kuhani mmoja Mzayuni atimuliwa Russia

    Kuhani mmoja Mzayuni atimuliwa Russia

    May 17, 2017 03:00

    Idara ya Mahakama ya Russia imemfukuza nchini humo kuhani mmoja Mzayuni aliyekuwa akifanya harakati za siri na kuendesha kituo maalumu cha misaada bila ya idhini ya nchi hiyo.

  • Mogherini: EU na Russia zina msimamo mmoja kuhusu JCPOA

    Mogherini: EU na Russia zina msimamo mmoja kuhusu JCPOA

    May 15, 2017 03:26

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU na Russia zina msimamo mmoja katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Putin: Uhusiano na Palestina ni muhimu kwa Russia

    Putin: Uhusiano na Palestina ni muhimu kwa Russia

    May 11, 2017 22:41

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameonana na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusema kuwa, nchi yake inalipa umuhimu suala la kuimarisha uhusiano wake na Palestina.

  • Ukosoaji mkali wa Moscow kuhusiana na siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Russia

    Ukosoaji mkali wa Moscow kuhusiana na siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Russia

    May 07, 2017 08:03

    Igor Konashenkov, Msemaji wa Wiara ya Ulinzi ya Russia amekosoa siasa za vita za kila siku zinazotekelezwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon.)

  • China na Russia: Mgogoro wa Peninsula ya Korea, utatatuliwa kidiplomasia mbali na vita

    China na Russia: Mgogoro wa Peninsula ya Korea, utatatuliwa kidiplomasia mbali na vita

    May 01, 2017 23:56

    Balozi wa Russia nchini China amesema kuwa, mgogoro wa nyuklia wa Peninsula ya Korea, utatatuliwa kwa njia za kidiplomasia mbali na nguvu za kijeshi.

  • Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria

    Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria

    Apr 28, 2017 22:00

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Alkhamisi jioni katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, kimejikita kwenye hali ya kibinadamu katika nchi ya Syria iliyoharibiwa vibaya na vita.

  • Iran, Syria, Russia zalaani shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege Damascus

    Iran, Syria, Russia zalaani shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege Damascus

    Apr 28, 2017 03:01

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Syria na Russia zimelaani vikali shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus jana alfajiri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS