-
Russia yasisitiza kuundwa muungano wa kimataifa wa kutegua mabomu huko Syria
Apr 26, 2017 08:46Russia imetaka kuundwa muungano wa kimataifa kwa ajili ya kutegua mabomu ya kutegwa ardhini huko Syria.
-
Moscow: Uingereza itafutwa katika ramani ya dunia iwapo itatumia silaha za nyuklia dhidi ya Russia
Apr 24, 2017 22:34Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza la Seneti la Russia ametoa tahadhari kali kuhusu vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Uingereza vya kutumia silaha za nyuklia katika mashambulizi eti ya kujilinda dhidi ya Russia.
-
Lavrov: Russia, Iran, Hizbullah zitaendelea kuiunga mkono Syria kupambana na magaidi
Apr 23, 2017 03:22Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametilia mkazo wajibu wa kubadilishwa misimamo ya nchi za Magharibi katika suala zima la kupambana na magenge ya kigaidi nchini Syria na kusema kuwa, Moscow, Tehran na Hizbullah zinaiunga mkono Damascus katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Russia yailaumu Marekani kwa kukwamisha uchunguzi, Khan Shaykhun
Apr 22, 2017 02:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kusikitishwa na upinzani wa Marekani dhidi ya pendekezo lililotolewa na Moscow na Tehran kwa ajili ya kufanyika uchunguzi wa shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun nchini Syria.
-
Russia yatuma jeshi lenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini, hali yazidi kuwa tata
Apr 20, 2017 23:40Gazeti la Telegraph la nchini Uingereza limeandika kuwa, Russia imetuma wanajeshi wake wenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini kufuatia kuongezeka uwezekano wa Marekani kuivamia kijeshi Korea Kaskazini.
-
Kikao cha wataalamu wa amani ya Syria chaanza mjini Tehran
Apr 18, 2017 03:41Kikao cha wataalamu wa masuala ya amani na utulivu wa Syria ambacho ni muendelezo wa mazungumzo ya amani ya Astana Kazakhstan, kimeanza leo Jumanne hapa mjini Tehran.
-
Lavrov: Magharibi inazuia kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali Syria
Apr 13, 2017 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi za Magharibi zinazuia kufanyika uchunguzi wa kuweka wazi uhakika kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.
-
Russia yatumia kura ya turufu kupinga azimio dhidi ya Syria
Apr 13, 2017 02:55Russia imetumia kura ya veto kupinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Syria, lililoandaliwa kwa tuhuma bandia kwamba serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu imetimua silaha za kemikali dhidi ya raia katika eneo la Khan Sheikhoun.
-
Kremlin: Lengo la Russia ni kupambana na magaidi Syria
Apr 12, 2017 22:56Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kuwa lengo la nchi hiyo ni kuendesha mapambano dhidi ya magaidi huko Syria.
-
Iran, Russia na Syria zazungumzia mashambulizi ya US dhidi ya Damascus
Apr 12, 2017 03:15Mawaziri wa ulinzi wa Iran, Russia na Syria wamefanya mazungumzo ya simu kuhusu mashambulizi ya makombora ya Marekani dhidi ya kituo cha kijeshi cha Syria, huku pande tatu hizo zikisisitizia umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wao katika vita dhidi ya ugaidi.