-
Hujuma ya Marekani Syria inaweza sababisha vita vya nyuklia
Apr 11, 2017 00:56Mbunge mmoja nchini Russia amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kuonya kuwa hujuma hiyo yamkini ikaibua vita vya nyuklia duniani.
-
Radiamali ya awali ya Russia kwa shambulio la Marekani nchini Syria
Apr 07, 2017 08:26Shambulizi la makombora ya Marekani dhidi ya Syria, ambalo limetekelezwa kwa amri ya kwanza ya kijeshi ya Rais Donald Trump dhidi ya serikali ya kigeni, limekabiliwa na radiamali tofauti na hasa kutoka Russia.
-
Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono
Apr 07, 2017 02:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuushambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria, kwa kisingizio cha 'kuiadhibu' Syria kwa shambulio la silaha za kemikali inayodai lilifanywa na serikali ya Damascus katika mji wa Khan Sheikhoun.
-
Magaidi ndio waliofanya shambulio la kemikali nchini Syria
Apr 05, 2017 22:49Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema kuwa, magaidi ndio waliofanya mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.
-
Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa
Apr 04, 2017 11:46Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.
-
Ripoti: Trump, UAE wanakula njama ya kuitenganisha Russia na Iran
Apr 04, 2017 11:34Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) uliandaa mkutano wa siri mapema mwaka huu kati ya mwakilishi wa rais mteule wakati huo wa Marekani Donald Trump na mpambe wa Rais Vladimir Putin wa Russia ili kufanikisha diplomasia ya mlango wa nyuma baina ya pande mbili.
-
Nyuma ya pazia ya mlipuko wa kigaidi katika treni ya chini ya ardhi Russia
Apr 04, 2017 03:47Kufuatia hujuma ya kigaidi katika mji wa bandarini wa St. Petersburg nchini Russia siku ya Jumatatu watu 10 waliripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Russia
Apr 03, 2017 22:58Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi katika mji wa St.Petersburg nchini Russia.
-
10 wauawa katika mripuko wa Metro nchini Russia
Apr 03, 2017 10:43Maafisa usalama wa Russia wametangaza kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko uliotokea ndani ya treni ya chini ya ardhi (Metro) mjini Saint Petersburg wamefikia watu 10 na wengine watano wamejeruhiwa.
-
Uhusiano wa Marekani na Russia ni mbaya zaidi ya zama za Vita Baridi
Apr 03, 2017 09:21Katika hali ambayo baadhi wanadhani kuwa uhusiano wa Russia na Marekani utaboreka katika kipindi cha urais wa Donald Trump, msemaji wa Rais wa Russia amesema uhusiano wa Moscow na Washington ni mbaya zaidi ya zama za vita baridi.