Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Kutiliwa nguvu mazungumzo ya Russia na kundi la Taliban la Afghanistan

    Kutiliwa nguvu mazungumzo ya Russia na kundi la Taliban la Afghanistan

    Apr 02, 2017 08:33

    Alexander Grushko, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amethibitisha habari kuwa Moscow imefanya mazungumzo na kundi la Taliban la Afghanistan.

  • Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO

    Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO

    Apr 02, 2017 00:17

    Kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa shirika la kujihami la kijeshi la NATO kilifanyika siku ya Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya shirika hilo mjini Brussels, Ubelgiji.

  • Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Mar 31, 2017 10:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amepuuzilia mbali madai bandia kuwa Iran inaunga mkono ugaidi na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni mshirika mkubwa katika vita dhidi ya magenge ya kigaidi nchini Syria.

  • Iran, jirani mwema na mshirika mwenye utulivu na amani wa Russia

    Iran, jirani mwema na mshirika mwenye utulivu na amani wa Russia

    Mar 29, 2017 03:04

    Hati 14 za ushirikiano katika sekta mbalimbali zikiwemo masuala ya kibalozi, utalii, uchumi, mawasiliano, sheria na masuala ya mahakama zimesainiwa katika mazungumzo yaliyafanyika jana kati ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenyeji wake wa Russia Vladimir Putin mjini Moscow.

  • Zarif: Iran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano na Russia

    Zarif: Iran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano na Russia

    Mar 28, 2017 03:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inataka kuimarisha zaidi uhusiano wa kisiasa na kiuchumi na ushirikiano wa kikanda na serikali ya Moscow.

  • Rouhani: Ushirikiano wa Iran, Russia unaweza kuleta usalama kieneo na kimataifa

    Rouhani: Ushirikiano wa Iran, Russia unaweza kuleta usalama kieneo na kimataifa

    Mar 27, 2017 23:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Tehran na Moscow unazidi kustawi na kuongeza kuwa, Iran inakaribisha kuimarishwa uhusiano wa kina na nchi jirani ikiwa ni pamoja na Russia.

  • Rouhani: Uhusiano wa Iran na Russia ni kwa manufaa ya eneo hili zima

    Rouhani: Uhusiano wa Iran na Russia ni kwa manufaa ya eneo hili zima

    Mar 27, 2017 09:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili leo Moscow, mji mkuu wa Russia akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Iran kwa ajili ya ziara rasmi ya siku mbili.

  • Balozi: Kiongozi Muadhamu, Rouhani wanaupa umuhimu uhusiano wa Iran na Russia

    Balozi: Kiongozi Muadhamu, Rouhani wanaupa umuhimu uhusiano wa Iran na Russia

    Mar 26, 2017 03:44

    Balozi wa Iran mjini Moscow amesema Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Rais Hassan Rouhani wanaupa umuhimu mkubwa na wa kipekee uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na wanataka kuuona ukiimarika.

  • Russia: CNN ni chombo cha propaganda za Marekani

    Russia: CNN ni chombo cha propaganda za Marekani

    Mar 25, 2017 22:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa televisheni ya CNN ya Marekani imekuwa chombo cha kueneza propaganda za kisaisa za nchi hiyo.

  • Uungaji mkono kwa Trump waendelea kupungua licha ya madai yake dhidi ya Obama

    Uungaji mkono kwa Trump waendelea kupungua licha ya madai yake dhidi ya Obama

    Mar 20, 2017 23:46

    Taasisi ya uchunguzi wa maoni ya Gallup nchini Marekani imetangaza kuwa uungaji mkono wa wananchi kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump unaendelea kupungua sambamba na kuendelea kuibuka kashfa zinazohusiana na sakata la kuwepo mawasiliano kati ya timu yake ya kampeni na Russia katika kipindi cha kampeni za uchaguzi uliopita na vilevile kuhusu madai yake ya kudukuliwa mazungumzo yake ya simu na mtangulizi wake Barack Obama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS