-
Marekani inanunua mafuta kutoka Russia licha ya kujiwekea marufuku ya uagizaji
Jan 12, 2024 07:01Marekani imeendelea kununua mafuta ya Russia licha ya kuwa mtetezi mkuu wa vikwazo dhidi ya nchi hiyo na kujiwekea marufuku tokea mwanzoni mwa mwaka 2022 ya kuagiza nishati kutoka nchini humo.
-
Iran na Russia: Marekani inatafuta visingizio vya kupanua uwepo wake katika eneo
Jan 10, 2024 06:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov wamesema Marekani inajaribu kubuni visingizio ili kupanua uwepo wake katika eneo. Wanadiplomasia hao wakuu wa Tehran na Moscow wametoa indhari hiyo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu jana Jumanne.
-
Kupanuka kundi la BRICS na kudhoofika wenzo wa mashinikizo wa Magharibi dhidi ya Iran na Russia
Jan 09, 2024 03:01Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani ya Bloomberg imeripoti kuwa, kuongezeka maradufu idadi ya wanachama wa kundi la BRICS kunadhoofisha nguvu ya nchi za Magharibi dhidi ya nchi kama Russia na Iran.
-
Kundi la BRICS ni jukwaa la nchi wanachama kufanya biashara bila dola ya Marekani
Jan 08, 2024 03:35Afisa moja wa Russia amewasilisha takwimu za uzalishaji na matumizi ya nafaka katika kundi la BRICS, na kubainisha kuhusu uwezo wa kundi hilo kufanya biashara bila kutumia sarafu ya dola ya Marekani.
-
Russia: Kuipindua serikali ya Kiev ni "lengo muhimu na lisiloepukika" la operesheni za kijeshi Ukraine
Dec 29, 2023 09:26Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia ametangaza kuwa kupinduliwa serikali ya Kiev ni "lengo muhimu zaidi na lisiloweza kuepukika" la operesheni za kijeshi za nchi hiyo nchini Ukraine.
-
Lukashenko: Russia yakamilisha zoezi la kuikabidhi Belarus shehena ya silaha za nyuklia za kitaktiki
Dec 26, 2023 11:38Rais wa Belarus amesema kuwa Russia imekamilisha zoezi la kukabidhi Belarusia shehena ya silaha za nyuklia za kitaktiki ambazo zimetumwa nchini humo kwa lengo la kukabiliana na mashambulizi yoyote yanayoweza kutekelezwa na Mungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato).
-
Russia: Bila usitishwaji vita azimio la Baraza la Usalama halitakuwa kwa manufaa ya Gaza
Dec 26, 2023 07:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza katika taarifa kwamba azimio la hivi karibuni la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Ukanda wa Gaza halitaathiri hali ya ukanda huo, na kwamba kuna udharura wa kutekelezwa usitishaji vita katika ukanda huo haraka iwezekanavyo.
-
M’membe: Vikwazo vya Magharibi vimezikurubisha pamoja Russia, Afrika
Dec 25, 2023 10:42Rais wa Chama cha Kisoshalisti cha Zambia amesema nchi za Magharibi zinaziburuza nchi nyingine duniani kuingia vitani huku zikipora rasilimali zao.
-
Azimio la Baraza la Usalama kuhusu Gaza: Ni hatua ya lazima lakini haitoshi
Dec 23, 2023 08:18Ijumaa ya jana, Desemba 22, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kuongeza misaada ya kibinadamu kwa watu wa Ukanda wa Gaza bila kutoa wito wa kusitishwa mapigano. Marekani na Russia, wanachama wawili wa kudumu wa Baraza la Usalama, hazikulipigia kura azimio hilo. Wajumbe wengine 13 wamelipigia kura ya ndiyo.
-
Kuimarika uhusiano wa Russia na China, changamoto kubwa kwa mfumo wa Magharibi duniani
Dec 23, 2023 04:41Katika ziara yake nchini China, Waziri Mkuu wa Russia amesema kuimarishwa uhusiano wa pande mbili ni kwa manufaa ya Moscow na Beijing.