-
Iran yakosoa msimamo wa Russia kuhusu visiwa vitatu vya Jamhuri ya Kiislamu
Dec 23, 2023 02:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia kwamba, Tehran haiwezi kufanya majadiliano na mashauriano yoyote juu ya mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024
Dec 20, 2023 02:37Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amethibitisha hhatua ya kwenda Rais Vladimir Putin wa Russia katika Kamati Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kujiandikisha kama mgombea kwa muhula ujao wa urais, ambao utafanyika katikati ya Machi 2024. Putin amewasilisha stakabadhi zinazohitajika ili kujiandikisha kuwa mgombea urais.
-
Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi
Dec 19, 2023 02:34Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.
-
Russia: Wamagharibi hatimaye wataondoka Ukraine
Dec 12, 2023 03:35Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Kigeni ya Russia amesema: "Utawala kibaraka wa Kyiv, ambao ni ngeni kwa watu wengi wa Ukraine na umetekeleza mauaji ya umwagaji damu huko Donbass, Odessa na miji na vijiji vingi vya nchi hiyo, hatimaye utaachwa na kutupiliwa mbali na Wamagharibi."
-
Rais wa Iran akiwa safarini Russia asisitiza kusitishwa jinai za Israel dhidi ya Gaza
Dec 08, 2023 03:19Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kusitishwa mara moja jinai za Israel za "mauaji ya kimbari" dhidi ya Wapalestina Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yakiri kushindwa suluhisho la kijeshi kwa mgogoro wa Ukraine
Dec 05, 2023 02:38Jenerali Charles Brown Jr, Mkuu wa Kamandi ya Pamoja ya Jeshi la Marekani, huku akibainisha kwamba vita daima humalizika kwa makubaliano ya kidiplomasia, amesisitiza kuwa mzozo wa Ukraine hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi.
-
Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine
Dec 02, 2023 10:24Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.
-
Mahakama ya Russia yaupiga marufuku ufuska wa LGBT, yasema 'umefurutu mpaka'
Dec 01, 2023 10:24Mahakama ya Juu ya Russia imelipiga marufuku "vuguvugu la kimataifa la LGBT" na kulitaja kuwa ni kundi lenye "kufurutu mpaka". Uamuzi huo unaathiri pia matawi ya harakati hiyo ya ufuska na mahusiano machafu ya kingono ya watu wa jinsia moja.
-
Russia yailaumu Marekani kwa mgogoro wa Gaza
Nov 30, 2023 03:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya mgogoro baina ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwanadiplomasia wa Russia alaani uvumi wa kufukuzwa nchi hiyo katika Baraza la Usalama.
Nov 25, 2023 06:56Naibu mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amelaani uvumi unaoenezwa kuhusu kufukuzwa nchi hiyo katika Baraza la Usalama.