-
Medvedev atishia kushambulia Washington, London na Berlin ikiwa Russia italazimishwa kuondoka Ukraine
Feb 19, 2024 08:12Rais wa zamani wa Russia Dmitry Medvedev ametishia Washington, Berlin, London na Kiev kushambuliwa kwa silaha za nyuklia ikiwa Russia italazimishwa kujiondoa Ukraine.
-
Putin: Russia iko tayari kumaliza mzozo na Ukraine
Feb 18, 2024 22:55Rais wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kumaliza vita na Kiev kwa amani, lakini hakuna dalili kwamba Ukraine inataka amani.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama
Feb 10, 2024 07:11Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso ameshiriki katika sherehe za madhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo bora cha utawala, muqawama, ushujaa na mapambano.
-
Russia, China: US inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 06, 2024 07:30Russia na China zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Iraq na Syria na kusisitiza kuwa, Washington ni tishio kwa usalama wa eneo zima la Asia Magharibi.
-
Mpango wa kupora mali za Russia ili kufidia hasara za vita vya Ukraine kuwasilishwa katika G7
Feb 05, 2024 03:15Serikali ya Ubelgiji imetangaza kuwa imewasilisha pendekezo kwa wawakilishi wa nchi za Magharibi na wa Kundi la G7 la kutaifisha mali za Russia ili kufidia hasara za vita vya Ukraine.
-
Russia: Ajali ya ndege ya II-76 ilisababishwa na makombora yaliyorushwa na mfumo wa Patriot wa Marekani
Feb 01, 2024 23:08Kamati ya Uchunguzi ya Russia jana ilieleza kuwa uchunguzi iliofanya kuhusu ajali ya ndege ya kijeshi ya usafiri iliyotokea wiki jana katika jimbo la Belgorod nchini humo imebaini kuwa ndege hiyo ilitunguliwa na makombora yaliyorushwa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Patriot.
-
Mahakama ya ICJ yatupilia mbali madai ya Ukraine dhidi ya Russia
Feb 01, 2024 07:29Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imepinga takriban tuhuma zote zilizowasilishwa na Ukraine katika kesi ya kufadhili ugaidi dhidi ya Russia.
-
Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi
Jan 31, 2024 07:21Rais wa Ukraine amekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu mkabala wa Russia na kusema: Ulaya peke yake haiwezi kuisaidia Ukraine dhidi ya Russia bila uungaji mkono wa Marekani.
-
Russia: Marekani inatumia vita vya Ukraine kama mradi wenye faida
Jan 24, 2024 00:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekani inaona vita kati ya Russia na Ukraine kama "mradi wa faida" na kusema: Moscow iko tayari kwa mazungumzo na Ukraine kwa ajili ya kumaliza mzozo huo.
-
Mkuu wa Intelijensia ya Russia: Marekani inaanzisha 'Serikali ya Kikoloni' ndani ya Ukraine
Jan 23, 2024 02:10Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Russia amesema, Marekani imeanza kuunda "serikali ya kikoloni" nchini Ukraine inayojumuisha wanasiasa wa ndani ambao wamekula kiapo cha utiifu kwa Washington.