-
CNN: Marekani inatazamia kutuma Ukraine msaada mkubwa zaidi kabla ya 2025
Jan 20, 2024 23:09Televisheni ya CNN yenye makao yake nchini Marekani imeripoti kuwa Washington inatazamia kutuma msaada mubwa zaidi huko Ukraine kabla ya Januari mwaka 2025 na kukfanyika uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Ujumbe wa HAMAS ya Palestina waitembelea Russia
Jan 20, 2024 00:33Ujumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina(HAMAS) umeitembelea Moscow, mji mkuu wa Russia.
-
Russia: Amani ya Ukraine inategemea kusimamishwa upelekekaji silaha nchini humo
Jan 15, 2024 10:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa mazungumzo ya amani kwa ajili ya Ukraine yanawezeka tu kwa kusimamishwa upelekaji wa silaha kwa nchi hiyo.
-
Kupamba moto vita nchini Ukraine na juhudi zisizo na tija za Magharibi
Jan 15, 2024 02:57Russia imeshadidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine sambamba na kupungua misaada ya kifedha na silaha ya nchi za Magharibi kwa Kyiv.
-
Medvedev: Kupeleka Uingereza askari wake Ukraine kutamaanisha kutangaza vita dhidi ya Russia
Jan 13, 2024 02:46Dmitry Medvedev, Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia amesema, kupelekwa askari wa jeshi la Uingereza nchini Ukraine kutakuwa sawa na kutangaza vita dhidi ya Russia.
-
Marekani inanunua mafuta kutoka Russia licha ya kujiwekea marufuku ya uagizaji
Jan 12, 2024 03:31Marekani imeendelea kununua mafuta ya Russia licha ya kuwa mtetezi mkuu wa vikwazo dhidi ya nchi hiyo na kujiwekea marufuku tokea mwanzoni mwa mwaka 2022 ya kuagiza nishati kutoka nchini humo.
-
Iran na Russia: Marekani inatafuta visingizio vya kupanua uwepo wake katika eneo
Jan 10, 2024 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov wamesema Marekani inajaribu kubuni visingizio ili kupanua uwepo wake katika eneo. Wanadiplomasia hao wakuu wa Tehran na Moscow wametoa indhari hiyo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu jana Jumanne.
-
Kupanuka kundi la BRICS na kudhoofika wenzo wa mashinikizo wa Magharibi dhidi ya Iran na Russia
Jan 08, 2024 23:31Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani ya Bloomberg imeripoti kuwa, kuongezeka maradufu idadi ya wanachama wa kundi la BRICS kunadhoofisha nguvu ya nchi za Magharibi dhidi ya nchi kama Russia na Iran.
-
Kundi la BRICS ni jukwaa la nchi wanachama kufanya biashara bila dola ya Marekani
Jan 08, 2024 00:05Afisa moja wa Russia amewasilisha takwimu za uzalishaji na matumizi ya nafaka katika kundi la BRICS, na kubainisha kuhusu uwezo wa kundi hilo kufanya biashara bila kutumia sarafu ya dola ya Marekani.
-
Russia: Kuipindua serikali ya Kiev ni "lengo muhimu na lisiloepukika" la operesheni za kijeshi Ukraine
Dec 29, 2023 05:56Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia ametangaza kuwa kupinduliwa serikali ya Kiev ni "lengo muhimu zaidi na lisiloweza kuepukika" la operesheni za kijeshi za nchi hiyo nchini Ukraine.